Unataka kuoa? Oa ukijisikia kutoka moyoni!

Unataka kuoa? Oa ukijisikia kutoka moyoni!

660734F4-CE5B-401B-98A9-84A8F0023C66.jpeg
 
Kifupi dhima ya ndoa siku hizi imeharibika, siyo kila anayepanga ndoa anamaanisha kuoa/kuolewa! Wengine wazugaji tu

Hii ndio point tena kwa hawa warembo wengine wanagaka kutoa mikosi tuu hamna lolote.
 
Siku hizi mtu anaoa au kuolewa kumkomesha ex wake fulani..sasa cha kushangaza Arusha is so olewa anakuja tambua kumbe eeb ndoa sio kisasi..wala relavancha..ndio imepita hyo ataanza kucheat etc etc basi ndoa inavunjika.


Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Kuna kufunga ndoa, kutafuta familia na watoto wa kulea
Na kuna kufunga ndoa kutafuta content, mambo ya kuongelewa
 
Back
Top Bottom