Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,494
Unapokuwa kijana unakutana na kijana mwenzio iwe safarini, sehemu za kazi ama mtaani. Uzalendo unakushinda na kuanza kurusha ndoana zako kwa mdada. Chemistry inaanza kuwapanda wote. Unaanza kujiweka karibu na binti mnaenda dinner na movie kadhaa. Kabla ya kulala mwapigiana simu ....etc etc missing you kwa sana. Hapo mkaka unatafuta kasi umwombe tunda. Siku ya siku unameza mfupa na kumwambia mdada inakuwaje sasa? Jibu bwana mimi nakupenda pia ila naogopa utanichezea tu na kuniumiza moyo wangu, niliwahi umizwa na mkaka mmoja nilimpenda kuliko wewe!!!!!!! Hapa hujiuliza kuchezewa kupi huko? Nadhani labda wadada mbadili kauli iwe tunachezeana its makes more sense kwangu.
Haya wadada mpo?
Haya wadada mpo?