Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,350
- 40,677
Wanawake wana bahati ya kuingia kwenye age ya adulthood wakiwa na thamani kubwa. Ingawa hiyo bahati inakuja na changamoto, inawafanya wawe prey kwenye dating pool.Huu ujumbe wako nimeuelewa sana. Wanawake wengi wameingia kwenye huu mtego na maisha yao yamevurugika beyond repair.
Jukumu la mchungaji ni kumfikisha ng'ombe mtoni. Suala la ng'ombe kunywa maji huo ni uamuzi wa ng'ombe mwenyewe.Unadhani kwa walivokomaza makomwe watakuelewa?
Umeongea kitu kikubwa sana. Wapo wengi wanachukulia personal ninachokiandika, labda kwa sababu wakiangalia past au current zao kuna namna nawagusa kwa namna ambayo inawaumiza au haiwapendezimleta mada upewe pongezi, uko na upeo mkubwa kwenye haya mambo.
tokea nimekufahamu kupitia mada zako hapa jukwaani, ni karibu mwaka wa pili sasa, na kila wakati unakuja na kipya chenye na ubora kuliko cha jana.
shukrani za dhati maana yoote kwa asilimia kubwa unayo yawasilisha hapa ni kumlenga mwanamke, nami kama mwanaume ambae nina watoto wa kike napata kujifunza mengi sana namna ya kumfanya mtoto wa kike awe mwanamke.
shukrani tena.
Danganyaneni.mleta mada upewe pongezi, uko na upeo mkubwa kwenye haya mambo.
tokea nimekufahamu kupitia mada zako hapa jukwaani, ni karibu mwaka wa pili sasa, na kila wakati unakuja na kipya chenye na ubora kuliko cha jana.
shukrani za dhati maana yoote kwa asilimia kubwa unayo yawasilisha hapa ni kumlenga mwanamke, nami kama mwanaume ambae nina watoto wa kike napata kujifunza mengi sana namna ya kumfanya mtoto wa kike awe mwanamke.
shukrani tena.
kutafuta mume wakishafubaa n.k,
NB: Hakuna popote nilipokuambia uende kufanyia kazi nilichokiandika hapa
Huwa ume focus sana kwenye past past. .Umeongea kitu kikubwa sana. Wapo wengi wanachukulia personal ninachokiandika, labda kwa sababu wakiangalia past au current zao
Kwamba kilichoandikwa na mleta mada sio sahihi?Danganyaneni.
No GOD in your wisdom.
Sanasana mnachofanikiwa ni kuzidi kuziweka mbali hizi jinsia mbili.
Fool's wisdom.
Wote mnaokojoa mmesimama mnaokwazika (for whatever reason) kuona mwanamke akiolewa, pangeni mstari mjipitishe pitishe waoaji wawaone muolewe nyie
Pamoja na yote jamaa kaongea kweliIts time we talk about traumatised men for once, yani wako wengi maana haya majambazi yanayovuja damu kila mwezi yanapiga matukio kimya kimya unakuja kusikia kelele tu mitandaoni, mwendo wa ving'ora tu wiiiiuuuu wiiiiuuuu kutoka kwa waliopaswa kuwa viongozi, sura ya Mungu.
Unakuta kademu kamoja kameachia ballistic kwa mwana mmoja, basi mwana maisha yake yote anawaza kuumiza kila anayekutana naye, sio mtandaoni sio uraiani
Truly pathetic.
JESUS HEALS
Didn't even read what he wrote, nimesoma heading na mstari wa mwisho tu.Kwamba kilichoandikwa na mleta mada sio sahihi?
Kwamba sio kweli mwanaume akitaka kumuibia mwanamke haangalii kama kuna mwanaume pembeni yake? Iwe kununua/kukarabati magari, ujenzi/ukarabati wa nyumba nk, hakuna ukweli wowote?
Wako wanawake wanaojitambua na huwezi kuwarubuni kwa urahisi. la nakubaliana na wewe wengine ni kama moto wa kibatari... upepo unakoelekea na wao ndiyo huko huko, hasa kwa wale wenye elimu ndogo. Ktu kidogo sana tayari ameshayumba. Hasa hawa wanaoitwa ma-shost ni hatari kubwa kama mwanamke hana akili. Na social media sasa hivi nayo inachangia kuteka baadhi ya wanawake akili.Jukumu la mchungaji ni kumfikisha ng'ombe mtoni. Suala la ng'ombe kunywa maji huo ni uamuzi wa ng'ombe mwenyewe.
Kaanzisha thread ya uovu wa kumfanyia mwanamke.Pamoja na yote jamaa kaongea kweli
Ukiwaza negatively unatisi anazingua, think of it in a positive way, huenda hata kuwasaidia binti zako in the future.Didn't even read what he wrote, nimesoma heading na mstari wa mwisho tu.
Toxicity everywhere.
Fikirieni mambo mazuri ya kufanyia wanawake zenu.
We kutwa 24/7/365 unawaza misukosuko tu. Truly toxic.
I repeat, no GOD in modern men's wisdom. Ni destruction tu inafuata, hamjengi chochote!
Majibu mnayapata in real time. Ni mwendo wa ving'ora tu. Wiiiuuu wiiiuuu.
Ila kwakweli🙆🏻🕴🏻Kibaka akitaka kumwibia mwanamke, kwanza kabisa ataangalia kama ameongozana na mwanaume.
Muuza magari akitaka kumuuzia mwanamke gari bovu au kumpiga kwenye bei, ataangalia kwanza kama yupo na mwanaume.
Fundi wa kukarabati nyumba akitaka kumpiga mwanamke material za ujenzi kwanza ataangalia kama kuna mwanaume humo ndani ya nyumba.
Mwanaume mwenye nia ya kumfanyia mwanamke vitendo vya ubakaji atahakikisha kwanza huyo mwanamke hayupo na mwanaume katika mazingira hayo.
Mashoga wa hovyo kabla ya kumpotosha mwanamke mwenzao huwa wanaangalia kwanza kama yupo kwenye mahusiano ya serious na mwanaume wake.
Mbinu rahisi ya kumtapeli, kumpotosha, kumzulumu, kumwibia, kumbaka, kumdhuru au kumfanyia mwanamke kitendo chochote kibaya, ni kumwondoa mwanaume kwenye maisha yake au kumshawishi kwamba mwanaume ndie adui yake.
"ukikubali kuolewa mapema mwanaume atakunyanyasa"
"zaa tu ulee mtoto wako wanaume hawaeleweki"
"bwana ako amekukataza kutoka usiku kwa sababu hataki ule maisha"
"mwanaume wako sio baba ako, una haki ya kujifanyia maamuzi yako mwenyewe"
Shauri kama hizo hapo juu ndio mwanzo wa usingle mother, mabinti wadogo kuleweshwa pombe na kuishia kuingiliwa kinyume wakiwa hawajitambui, kujazana kwenye maombi ya upepo wa kisulisuli kutafuta mume wakishafubaa n.k, kwa sababu hizo shauri zinamwondoa mwanamke kwenye ile devine order ya kuhitaji ulinzi wa mwanaume.
To take advantage of a woman you must make sure she has no man's protection or there's is no man she listens to. Sell her the idea of being free to do what ever she likes. Once you achieve this you have unlimited number of women to exploit, scam, use, damage, harm, traumatise or destroy while convincing them that you are giving them right and opportunity to exercise their freedom.
Thieves understand this. Businesses understand this. Toxic friends understand this. Corrupt men understand this. Feminists understand this.
NB: Hakuna popote nilipokuambia uende kufanyia kazi nilichokiandika hapa.
Don’t be a simp.