Wazo zuri sana, nimewahi jaribu kwa kuandika through blog, likanijia wazo la video kama hivi... Ila naona ushaniwahi.... Kweli ngoja ngoja inaumiza matumbo... Tafadhali fanya hivyo tunahitaji watu waelewe programming sana bongo na inawezekana, nashauri uanzie mwanzo kabisa, inagawa changamoto itabaki kwenye tafsiri halisi ya maneno ya computing.