Unataka kufanana na wanachuo wa Tanzania

Madaktari niliwatolea mfano tu;kama nao wanaweza fika form 4,waka safiri safiri hivi,wakaenda english course,basi wakawa na uwezo wa kutibu!

WATU ULIOWAONGELEA KTK MADA YAKO NI MADALALI PEKEE

Na wewe sijui umesoma shule gan? ambayo ilikufundisha kutoelewa haraka!!

aliyekuambia elimu ni udkatari tu. ni nani?

kwani hakuna waliopata degree lakn wakaishia kujiajili kama wanavyofanya darasa la saba au form fours,

kumbuka naongelea watu ambao kwa bahati baya hawakufika chuoni.!

umenielewa
 
Naongelea madaktari wa upasuaji,meno,masikio,wanawake,na wengine wengi waliopita chuo miaka 5.

ENDELEA KUAMIN UNACHO AMINI,NI HAKI YAKO.

huo unaongelea wewe ni utaalam na mfumo madaktari waliofika chuoni,

kumbuka madktari ambao hawajafika chuoni wanauwezo wa kitubu sikio bila kupasua na kwa ufasaha zaidi

upo apo!!
 
Jifunze kujikubali hata kama umeishia chekechea. Na usipende kufanana na, bali kuwa zaidi ya…
 
Naongeza,,

vii) unapoongea hakikisha sentence inachanywa na maneno ya kizungu.

viii) unaposafiri hakikisha unakua na gazeti la kiingereza i.e daily mail hata kama huelewi. Au novel.

ix) ukikutana wenzako zungumzia movies latest za holywood.

x) kama ni binti hakikisha una smartphone. Na kuzungusha kichwa as unazitoa nywele jichoni hata kama una kipara.

xi) ntaendelea...
 
Vyuo vya kata vimejaa kila kona unashindwaje kusoma mpaka ufanye maigizo?
 
xii) vaa miwani ya macho,, hata kama huna tatizo la macho.

xiii) kama ni bint piga picha ovyo ovyo za makalio na zirushe hovyohovyo insta, watsup, fb.

xiv) tamka maneno ya kichuo chuo i.e boom, sup, nmekary, hata kama hujui maana yake.

xv) ntarudi..
 
Naongeza,,

vii) unapoongea hakikisha sentence inachanywa na maneno ya kizungu.

viii) unaposafiri hakikisha unakua na gazeti la kiingereza i.e daily mail hata kama huelewi. Au novel.

ix) ukikutana wenzako zungumzia movies latest za holywood.

x) kama ni binti hakikisha una smartphone. Na kuzungusha kichwa as unazitoa nywele jichoni hata kama una kipara.

xi) ntaendelea...

hehehehehe!!
Mkuu umetisha kwa asilimia 100%
 
Shy land, zero grazing!!! umezoea matango pori unafikiri kila mtu hapa jf. huo ushauri wape mahaaami huko!!

Zero grazing ndiyo natural activitiy of african people, hilo najipongeza kwa kuwa hadi sana siko kwenye mentally colonization by western people.,!

JF is like a sociaty, kila type ya watu wamo, kama wewe unaona maada haikusu ni bora ukapita pembeni cyo kuendelea kutuletea mawazo ambayo tiyari yashaathirika na colonization ya white people.
 
Niaje wakubwa,

Hii ni mada nzuri sana,lakini niwe tofauti na mtoa mada ukiangalia hivyo vitu ulivyovitaja baadhi ya wanachuo hawana ukiangalia wengi hawataki kukaa vijijini,

vijana wengi hata hao wa chuo hawana utamaduni wa kusoma vitabu lakini si watu wanaopenda kufuatilia masuala ya nchi yao mfano kuangalia bunge tuliowengi tunapenda kufuatilia masuala ya burudani kama muziki ,

Mpira wa miguu ambayo hamna kitu cha msingi tunachokipata, si kwamba kufuatilia hivi vitu ni vibaya,lakini visichukue sehemu kubwa ya maisha yetu,mwisho wa siku sisi vijana ndio wa kwanza kulalamika hamna ajira,

lakini kiukweli fursa zipo nyingi ni sisi wenyewe vijana kubadilika kwa kuyazingatia hayo mambo uliyoyaongelea mtoa mada.

NI HAYO TU...................
 
Hii ni mada nzuri sana,lakini niwe tofauti na mtoa mada ukiangalia hivyo vitu ulivyovitaja baadhi ya wanachuo hawana ukiangalia wengi hawataki kukaa vijijini,

vijana wengi hata hao wa chuo hawana utamaduni wa kusoma vitabu lakini si watu wanaopenda kufuatilia masuala ya nchi yao mfano kuangalia bunge tuliowengi tunapenda kufuatilia masuala ya burudani kama muziki,

mpira wa miguu ambayo hamna kitu cha msingi tunachokipata, si kwamba kufuatilia hivi vitu ni vibaya,lakini visichukue sehemu kubwa ya maisha yetu,mwisho wa siku sisi vijana ndio wa kwanza kulalamika hamna ajira,

lakini kiukweli fursa zipo nyingi ni sisi wenyewe vijana kubadilika kwa kuyazingatia hayo mambo uliyoyaongelea mtoa mada.

Mkuu big up sana., kwa kuliona hilo, mimi huwanga nawashagaa sana wanaojiita eti wasomi, wamendelea kuwa na akili mugando, yakudharau Mawazo ya watu, kwa kisingizio cha kwamba eti.

Hana elimu.
 
Ili wewe jamaa ni mjivuni sana

Yaan ndgu yangu kuna watu JF,

Wanakela sana kiasi cha kwamba unaamua utumie maneno kama hayo. Eti mtu anakuambia huwezi kufanana na mtu aliyefika chuo, wakati kuna watu wamefika chuo nawazidi kila kitu usomi, maarifa, hela,

Na nina vitu namiliki vya kwangu.
 
Kwa ambae ampta elimu inayostahili na elimu hiyo.ikamkomboa huwez jilinganisha nae hta ukisafiri nje ya sayari kaka....lbda uzungumzie hao wanaofika chuo na kuwa watumwa wa elimu...

but for a man hu have realy invest in his mind nd he z acting on wat he hv invest utangooja sana kua kama yy...kwanza kwa uzi wako tu na comment zako inaonyesha ur not smart at all na bdo unataka jilinganisha na smart minds of people...

kajipange kijana kma ulichzea elimu kwa kujua ukisafiri sana utakua sawa na msomi mmmmh umepotea kifikra... thnx
 
Back
Top Bottom