unataka kuchakachua moderm yako SOFTWARE YAKE HII HAPACHIZICOMPUTER)

edjizzo

Member
Nov 2, 2010
81
1
KWA WALE WANAOTAKA KUCHAKACHUA MODERM ZAO
KAMA MODERM YAKO UKIINGIZA LAINI NYENGINE INA SEMA INSERT PIN
NA INA IMEI NAMBA
SOFTWARE ZOTE ZA KUCHAKACHUA HIZI HAPA
Download Huawei Torrents - KickassTorrents.com

ACHENI KUNYANYASWA NA WACHACHE
0712484995
hakiksha umedownload software ya kuipa support hiyo nenda google .andika free download torrentbitch .utapata
 
KWA WALE WANAOTAKA KUCHAKACHUA MODERM ZAO
KAMA MODERM YAKO

Taratibu kaka, ni MODEM (MOdulator DEModulator) without the 'R' unless hii unayozungumzia ni aina mpya.
 
sio acha niwape knowledge watu kama nakosea kuandika sawa

ukiambiwa umekosea na ukagundua kweli umekosea kubali na useme asante kwa kurekebishwa, acha ubishi, tunashukuru kwa kupost hiyo link kwani utasaidia watu wengi ingawa tayari calvinpower alishaipost zamani nadhani wewe ulikuwa hujajiunga JF.
 
Edjizzo wewe ni kapuku, huna msaada kwenye maswala haya kazi yako ni kudandia na kurudia posti za wengine sijui unataka kuwa na posti nyingi? Shame on you kilaza!
 
.................
ACHENI KUNYANYASWA NA WACHACHE
0712484995

Moja yakitu kinachowangusha wataalamu wengi kwenye fani zao ni mawasiliano/communication . Knowing the best way to communicate, how to communicate it and who to comuunicate is key to to your way up in yor career.

But thanks for your sharing of knowledge and information
 
tatizo lako nimegundua kwamba unapenda mashindano alafu unaona ww tu ndio unajua ndomana unapokosea unakuwa mkali nakutishia kuondoka. Kwa mfano hili limeshatolewa na calvin na alitoa software kabisa na wengi walituma ime 2kawa2mia code nikiwemo mm unaposema wasipotoshwe ninani utakae mpotosha humu
 
sawa naludia kama kitu kisipo ludiwa unataka watu wasijue au nimefichua software inapo patikana au we ndipo unapo pata hela
sikasiliki mi na songa mbele akuna mtu aliyekuwa bora ata we unamapungufu ukitaka kujua kilaza njoo tuonane ana kwa ana tuone kilaza nani
hapa akuna kujisumbua?
kijana history nini ukijua utapata jibu
na nini maana ya communication
asante
pole sana
 
sawa naludia kama kitu kisipo ludiwa unataka watu wasijue au nimefichua software inapo patikana au we ndipo unapo pata hela
sikasiliki mi na songa mbele akuna mtu aliyekuwa bora ata we unamapungufu ukitaka kujua kilaza njoo tuonane ana kwa ana tuone kilaza nani
hapa akuna kujisumbua?
kijana history nini ukijua utapata jibu
na nini maana ya communication
asante
pole sana

Thanks to internet every one can be informed in anything . I can google about medicine, Physics, chemistry, electronics , geoprahy, Mobile phone etc and be very well informed.

But one thing you should understand is there is difeerence between being well informed in something and having a a basic knowledge in it.


Having a
basic knowledge about a medicine,electronics, programming require one to be in a fomal class for sometime.

But using intenet anyone even one with no formal knowledge can talk and can be informed of anything as long as he or she know how to
google and wikiiing.

Still am advising u if u think u re good then am sure u can be better . Try to improove how you commicate your massages.

kama kwenye shule uliyosoma chuo au diploma uliboboea sana kwenye kompyuta na simu na hukufudishwa au ulidharau communication skills utakwama siku si nyingi . Ndio maana hata wanasoma engineering mwaka wa kwanza vyuoni wanafundishwa communication skills

Jumapili njema
 
sawa naludia kama kitu kisipo ludiwa unataka watu wasijue au nimefichua software inapo patikana au we ndipo unapo pata hela
sikasiliki mi na songa mbele akuna mtu aliyekuwa bora ata we unamapungufu ukitaka kujua kilaza njoo tuonane ana kwa ana tuone kilaza nani
hapa akuna kujisumbua?
kijana history nini ukijua utapata jibu
na nini maana ya communication
asante
pole sana

Edjizzo, Edjizzo, Edjizzo, It is regrettable tosay that you know nothing about the contents ambazo zipo kwenye linki hii Download Huawei Torrents - KickassTorrents.com

Experts say we all lie more than we realize.Futhermore, the more often we tell the same lie, the more we forget it is a lie. If we repeat it enough, we may even believe the lie is actually the truth.
If you want to improve anything ambacho tayari kilikuwepo hapa jf or kukifanya kiwe more disirable by making it smartter! then you are welcome, tuletee ZTE(K3565-z) modem unlocker. I say you are welcome na usiwe unatishia kukimbia pale unapopata challenge.
Nataka nikuambie kitu kimoja Edjizzo, Wheather teaching Jamii forums, au kama unataka kuwapa watu elimu, you must do everything you can to hold the Jamii forums members attention and get your point across. na sio kila thread unayofungua kunakuwa na blabla bla...
ukitaka watu hapa jamii forums wakukubali vizuri ungeanza kwanza wewe kuwakubali. Mfano ulipomwambia dr phone " au ndipo unapopata hela" sikia mkuu kinachofanyika hapa jamii forums hakimpotezei chochote katika kazi zake nafikiri amejiandaa na hataathirika na chochote atakama utaweka software yenye RED big buttons yenye kusomeka "UNLOCK DONE HERE" muheshimu na yeye atakuheshimu.
wewe ni mkali ndio tena nafkiri kuliko watuwengi humu ndani lakini tatizolako wewe unakwenda kasi mpaka unapitiliza. Really you are trying to run before walking!
 
calvin tumpotezee akawii akawii kuomba maoni kama atoke au abaki yy akubali kuheshimu michango ya wenzake aijalishi ikoje alafu akumbuke tulitoa bure bila kumchaji mtu me namweshimu na nitaheshimu michango yake na kumjibu hoja yakwamba napatia pesa soon nampa suprice hapa akae mkao wakula
 
sawa lakini zengine atakwama si zote zina chakachuliwa

Unajua sio watu wote ni watoto wanaoingia kwenye hii forum! Jaribu sana kuandika baada ya kufikiria na kwa umakini.
Yaani kwa jinsi unavyoandika humu naweza jua u mtu wa aina gani.

Bwana mdogo mmoja, chekibob ambaye kwa bahti amesoma soma vijikozi vya computer, sasa anataka watu wamtambue yeye mkali kwa kuwa kaambiwa hivyo.
Yaani inaudhi kuanza post na majigambo, hakuna vita humu vijana kila mtu amuheshimu mwenzie, na kila mtu anajua kwa kiwango chake, usichukie kurekebishwa ndio kuendelea mbele!! Damn!!!
 
Unajua sio watu wote ni watoto wanaoingia kwenye hii forum! Jaribu sana kuandika baada ya kufikiria na kwa umakini.
Yaani kwa jinsi unavyoandika humu naweza jua u mtu wa aina gani.

Bwana mdogo mmoja, chekibob ambaye kwa bahti amesoma soma vijikozi vya computer, sasa anataka watu wamtambue yeye mkali kwa kuwa kaambiwa hivyo.
Yaani inaudhi kuanza post na majigambo, hakuna vita humu vijana kila mtu amuheshimu mwenzie, na kila mtu anajua kwa kiwango chake, usichukie kurekebishwa ndio kuendelea mbele!! Damn!!!

Na hiyo utaiona kwenye namna anavyoanza kwa kuweka nambari ya simu yake na jina ndani ya posti. Afu yeye ni CHIZI kama hamkujua! (Kwa kifupi haoneshi ukomavu) Ni kawaida ya watoto (hata matineja walio kwenye umri wa balehe kufikiri kile wanachojua wanakijua wao pekee na ndio sahihi zaidi na kwamba hakuna yeyote anyeweza kuwaambia vinginevyo)

Anafikiri sisi hatujui kuwa yeye ndiye anayetangaza BIASHARA? (Hivi edjizzo ni kweli una ofisi au bado unalala kwa baba?)

Utoto bwana!
 
Huyu jamaa hata kuandika kwake kunaonyesha tu. mimi mwenye sio mwandikaji mzuri lakini kila saa nafanya editing kabla hamjaipitia la sivyo mngeona naandika yasiyo eleweka. lakini hiyo sio ishu muhimu sana, mmm lakini kuna umuhimu. Mfano umekwenda dukani kununua baisikeli ya mtoto wako, na ipo ndani ya box haijaunganishwa. umefika nyumbani uko na mtotowako unataka kuiunganisha. Kama instructions manual yake itakuwa imeandikwa na edjizzo. mwe! hutaweza kuunganisha kitu hapo. labda upige hiyo number yake ya simu. Edjizzo nakushauri uachane na mambo ya technology na uingine kwenye kilimo cha mapapai.
 
Back
Top Bottom