Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,191
- 4,577
Duh noma sana mzeeme nlianza mwaka 2013 saiv na gram 900
😂😂Hiyo process si nitapata kichaa😨
Nataka sana ila hii formula ndefu sana mwaka wa 40 ndio nitoboe🫢😂😂
We unataka mapene hutaki?
Utaki kuwa mdada mwenye pesa zake mjini?
electrolysis au unaweza tumia njia ya smelting ila ni gharama sanaDuh noma sana mzee
Unatumia kemikali gani kuichakata upate hio dhahabu?
Nahisi una maelfu ya line
Okay mkuu inaonekana zoezi ni gumu snaelectrolysis au unaweza tumia njia ya smelting ila ni gharama sana
😂😂 vipi mkuuDuuh!
Huku Afrika pesa inatafutwa kwa njia ngumu sana.😂😂 vipi mkuu
Mifumo ya kiserikali inafanya mambo yanakuwa magumu mkuuHuku Afrika pesa inatafutwa kwa njia ngumu sana.
Hivi system ikinishika nitakuwa salama kweli?🤔Hicho kibarua si mchezo, binafsi sitakiweza, kavp sambaza vijana mtaani wakufanyie wepesi 😅
Ofcourse you’ll have to answer! Kwakuwa utakuwa umejipata utalipa faini zao tuHivi system ikinishika nitakuwa salama kweli?🤔