unataka desktop icons zionekane na kuitikia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unataka desktop icons zionekane na kuitikia

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by emma115, Aug 23, 2012.

 1. emma115

  emma115 Senior Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 131
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 45
  Desktop Icon Toy is ni Windows utility ambayo itakuwezesha kubadili jinsi unavyotaka icon zako zijipange kwenye desktop yako pia kurekebisha zinavyoonekana
  Baada ya kuinstall, application hii itaweka icon zako zote zilizopo kwenye desktop kwenye System Tray ambayo itakupa uwezo wa kuzibadilisha setting kwa urahisi.
  Kuna option pia ambayo unaweza badilisha icon na kua kama zinacheza pale unapopitisha arrow mouse juu yake inayoitwa "dancing icon", pia kubadili saizi pamoja na zinavyocheza.
  Kuna maumbo mengi unayoweza chagua kufanya icon zako zijipange, kama clock, heart, spiral or pentagon.
  Kwa mfano, ukichagua umbo la saa, Desktop Icon Toy automatically itabadili umbo lililokuwepo na kubadili layout kuaonesha mada sahihi kadri muda upitavyo.
  Kwa ujumla, Desktop Icon Toy ni zaid ya handy tool, ina entertaining pia. unaweza google Desktop Icon Toy...
   
 2. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Turahisishie kwa kuitupia hiyo link HAPA lakini sio mbaya ngoja twende tutarudi
   
 3. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
 4. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
 5. N

  Nyasiro Verified User

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thnks. downloading
   
 6. Cassava

  Cassava JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 282
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndiyo maana JF naikubali, thanks mkuu.
   
Loading...