delta_state
Senior Member
- Sep 24, 2015
- 170
- 107
cheki hiiKuna wimbo wa Wenge Bcbg, JB Mpiana kaimba kwa kupokezana na jamaa cjui Afande, vyombo vimepigwa umo htr mwenye kuelewa jina la wimbo anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Roga Roga..
MADILU ana nyimbo fulan hivi nzuri sana
Niwekee hata moja..nami ntashukuru sana
Sent using Jamii Forums mobile app
chagua kati ya hiziMkuu kuna nyimbo fulani za Them Mushroom zinapigwa sana kwenye Harusi zipo kama 3 hivi naziomba tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wimbo wa Wenge Bcbg, JB Mpiana kaimba kwa kupokezana na jamaa cjui Afande, vyombo vimepigwa umo htr mwenye kuelewa jina la wimbo anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wimbo unaitwa Yekeyeke kama skosei. Nauhitaji sana
Tayar jamaa aalishanipa link, wimbo ninao. Karibu.Huu ni wimbo wa Mory Kante kutoka Guinea, jamaa kasema nyimbo za Kongo.
Dahh Mkuu yani hii nyimbo nna miaka km mi5 naitafuta af kila naemwelezea beat haielew, youtube holaa, apa enyew nlikuwa nafkiria naiandikaje hii beat ila mkuu umeiweka,, Shukrani za dhati zikufikie aisee,kama hii
moja ya album nzuri sana kusikilizaIf possible naweza nizapata ngoma za kwenye album ya V 12 ya koffi olomide...ikishindikana hata baadhi..
Tupia ngoma ya
Ferre gola- 100 kilos
If possible naweza nizapata ngoma za kwenye album ya V 12 ya koffi olomide...ikishindikana hata baadhi..