Unatafuta nyimbo za kiafrika (kongo)? Karibu upatiwe


Roga Roga

Roga Roga

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Messages
478
Likes
113
Points
60
Roga Roga

Roga Roga

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2013
478 113 60
Kibao Cha papaaa Mathias simaroo lutumba kiitwacho NAKOMA pia mwanamuziki faya tessi amekirudia ila lutumba alikiimba vilivyo pili kibao papa bonheur Cha madilu system na tatu kibao Cha mayaula kinasema sembe sembeee....alewiii yaaani ni balaaa tupu nitumieni papaa rogaroga na papaa bakurutuuu mutu mukubwa
Hicho kikiwa na english lyrics
 

Attachments:

Bin Mngereza

Bin Mngereza

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Messages
605
Likes
72
Points
45
Bin Mngereza

Bin Mngereza

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2012
605 72 45
Una chochote toka kwa Lipua Lipua eg,Mfueni,Panana,Sekizengi etc..
 
Baba Heri

Baba Heri

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
997
Likes
1,097
Points
180
Age
35
Baba Heri

Baba Heri

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2013
997 1,097 180
Mimi naomba wimbo wa olduvai band usemao baba Kaleta panya (sio ule uliopo YouTube ule ni copy)
kweli nitatoa sh 5000 kama zawadi
 
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
3,767
Likes
5,159
Points
280
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
3,767 5,159 280
Mkuu huu uzi ndio nauona leo. Nataka kujua ROSALINA umeshautupia.? Muimbaji sijui ni nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
5,462
Likes
3,393
Points
280
Mshuza2

Mshuza2

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
5,462 3,393 280
Dondosha ngoma inaitwa Asprin ya koffi olomide..
 
TOEDSLOTH

TOEDSLOTH

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
544
Likes
909
Points
180
TOEDSLOTH

TOEDSLOTH

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2018
544 909 180
Roga Roga

Roga Roga

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Messages
478
Likes
113
Points
60
Roga Roga

Roga Roga

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2013
478 113 60

Attachments:


Forum statistics

Threads 1,249,902
Members 481,140
Posts 29,714,383