Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hahahaha yeye kasema kwenye avatar yake hauzi ulanzi lakini komredi, ukiwa eneo la tukio usijaribu kuchomoa betri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zero IQ njoo kuna uchakataji huku
Kwa wewe unae tafuta mke njoo kwangu bado mti umekosa mjenzi
Nitakupenda na kukulinda daima
Mnhh.. Wewe umeanza kutia shaka.Kwa wewe unae tafuta mke njoo kwangu bado mti umekosa mjenzi
Nitakupenda na kukulinda daima
How dare you are?!Acha kudhalilisha hiyo idara kwa kuifananisha na hao wapuuzi.
How dare you are?!
Attacking peoples in their capacities
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]View attachment 1304757
Picha yake ndio hiyo ......
hahahahahahaTISS