Hivi komredi umeangalia avatar lakini?Nimeokota Embe Chini Ya Mnazi.
Mama Tuyajenge Maana Nimekutafuta Kwa Muda Mrefu
Una watoto wangapi MKUU?Kwa wewe unae tafuta mke njoo kwangu bado mti umekosa mjenzi
Nitakupenda na kukulinda daima
Kwani mtoa mada anafumuliwa marinda?Tope linataka kuchakatwa huku jamani!
cc #WazeeWaKuchakataKisamvujamiiforum
Anayo chura ya kichinaChura ipo?
Leo amekuwa na kichwa kisafi BosiHivi komredi umeangalia avatar lakini?
Nakutakia kila la kheri.

Mlipuko aka ngomaUmeshasema kaa mbali mita 100 hujabeba ulanzi ina maana una mlipuko wewe. Halafu unatuita mabaharia!!
Usijechomoa betri.Kwa wewe unae tafuta mke njoo kwangu bado mti umekosa mjenzi
Nitakupenda na kukulinda daima
Hivi komredi umeangalia avatar lakini?
Nakutakia kila la kheri.
Plus FSB or KGBTISS
GESTAPO + KGB+ FSB=Abduction+Hostage+........Kwa wewe unae tafuta mke njoo kwangu bado mti umekosa mjenzi
Nitakupenda na kukulinda daima
Hahahaha yeye kasema kwenye avatar yake hauzi ulanzi lakini komredi, ukiwa eneo la tukio usijaribu kuchomoa betri.Teh Teh Teh Comrade Simeona Imebadirika Na Kuwa Hii Kwa Kasi![]()
Mkuu bado unaliliaga chura tu?
vigezo na masharti ?Kwa wewe unae tafuta mke njoo kwangu bado mti umekosa mjenzi
Nitakupenda na kukulinda daima