Unatafuta kiwanja Dodoma?

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
899
ENEO LA BIASHARA+ MAKAZI-DODOMA(Ukisikia bahati ndio hii)

MAHALI[emoji666]Michese-Iringa road(Nyuma ya usalama wa taifa).

-Eneo liko opposite na kibao cha shule ya msingi michese(utaona kwenye picha)

UMBALI[emoji666]Kilomita 9 tu toka katikati ya jiji-Dodoma

UKUBWA[emoji666]square metres 1008

FRAME ZA BIASHARA[emoji666]kina frame 08 na bado eneo limebaki kubwa.

HUDUMA ZA KIJAMII[emoji666]maji,umeme viko jirani.

BARABARA[emoji666]Ni eneo la kwanza toka barabara kuu inayokuja kuwekwa lami hivi karibuni iendayo michese ambayo tayari imeshapimwa.

KUPIMWA; Eneo tayari limekwishapimwa linasubiri tu hati.(Tafadhali tazama mchoro kwenye picha)

FURSA ZILIZOPO
[emoji666]Eneo lilipo ni kituo cha daladala za michese-panaitwa kibao cha shule.Daladala husimamama hapo kushusha abiria!!Hiki ni kigezo muhimu na kikubwa sana hasa katika kutambulisha na kukuza biashara yako kwa haraka

[emoji666]Barabara inakuja kuwekwa lami siku si nyingi hivyo ni fursa kubwa sana kibiashara

[emoji666]Biashara kama vile hotel,mavazi,pub/bar,hardware,mbao,tofauli zinaweza toka kwa urahisi zaidi kwani maeneo ya jirani(kinyambwa extesion,miganga,chidachi) yanakua kwa kasi sana.utaona kwenye picha

[emoji666]Huduma kama vile kituo cha afya,duka la dawa,bar&lodge,migahawa ni chache sana.Hivyo tumia fursa hii mapema!!!Kazi ni kwako

MALIPO
[emoji666]unaweza lipa cash au kwa awamu

[emoji666] MALIPO YA CASH
bei ya eneo lote+frame zake ni milioni 16 Tu

[emoji666] MALIPO YA AWAMU
-milioni 18 (ndani ya miezi minne,yaani milioni 4.5 kila mwezi)
-Milioni 20(ndani ya miezi. sita,yaani takribani milioni 3.3 kila mwezi)

CONTACTS
0767833496(whatsap)
0622111186

Nasemaje; Mwenye macho haambiwi ona na mwenye kuona fursa kama hii hawezi iacha.

Eneo ni mali yangu halali na sio dalali
 

Attachments

  • IMG_20180130_101714_6.jpg
    673.5 KB · Views: 85
  • IMG_20180130_101402_2.jpg
    565.9 KB · Views: 86
  • IMG_20180130_101402_2.jpg
    565.9 KB · Views: 75
  • IMG_20180130_103708_8.jpg
    716.5 KB · Views: 77
  • IMG_20180130_101841_2.jpg
    845.4 KB · Views: 81
ENEO LA KIWANDA KWA BEI YA SADAKA

MAHALI[emoji666]Mbuyuni jijini dodoma

UMBALI[emoji666]kilomita 7 toka city centre

UKUBWA[emoji666]square metres 6048(ekari moja na nusu)

UMEME+MAJI[emoji666]Viko jirani sana

BARABARA[emoji666]ni nzuri na imechongwa vizuri

[emoji666]Eneo liko nyuma ya kiwanda cha dawa(MSD) na jirani na machinjio,viwanda vingine vilivyo sehemu iyo ni pesi,coca,WFP,fao,alizeti,magodoro,dengu,bia(safari lager)

BEI[emoji666]milioni 20 tu

MATUMIZI[emoji666]KIWANDA

0767833496
0622111186View attachment 849952

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei ya Sadaka! kanisa gani hilo mkuu sadaka yake mil 20.
 
Kiwanja mlimwa C-Dodoma

[emoji666]ukubwa-546 square metres
[emoji666]umbali-3.5km toka city centre
[emoji666]maji+umeme vyote vipo site tayari(utaona picha)
[emoji666]Kimepimwa na hakina deni lolote
[emoji666]Bei-milioni 6(fixed)
0767833496
0622111186
Kwenye ramani ni kiwanja chenye doti nyekundu.
Tafadhali usiache fursa hii
 
INDUSTRIAL PLOT FOR SALE IN DODOMA

[emoji666] LOCATION ; MBUYUNI-DODOMA

[emoji666] DIRECTION; SINGIDA ROAD

[emoji666] PLOT SIZE ; 6040 SQM

[emoji666] PLOT USE ;INDUSTRIAL

[emoji666] DISTANCE ; 7KM FROM CITY CENTRE,1 KM FROM THE MAIN ROAD

[emoji666]CLEAN TITLE DEED

[emoji666] PRICE ; 35Millions Tzs(negotiable)

[emoji666]THE INDUSTRIES THAT ARE NEARBY THE PLOT INCLUDES MSD,PEPSI,MAGODORO DODOMA,COCONUT OIL
0767833496
0622111186
 
Mkuu no disrespect ila kikifikia 16m cash nitafte niweke mkwanja mezani. Asante.
 
VIWANJA MLIMWA C-KWA WAZIRI MKUU(DODOMA)
[emoji666]umbali wa 3.5km toka city centre
[emoji666]maji+umeme vyote viko jirani na site
[emoji666]Vimepimwa+havina deni lolote
[emoji666]Bei zake ni kama ifuatavyo
1.SQM 470-BEI 6.8M
2.SQM 510-BEI 7.2M
3.SQM 612-BEI 11M
4.SQM 1056-BEI 14M
NB;kwenye ramani ni viwanja vyenye doti nyekundu
0622111186
0767833496
 
Hivi hawa maafisa ardhi wanaopitisha hivyo vichochoro wana akili timamu kweli?, kiwanja upana m 14/15 huu si uchochoro huu,
 
Hivi hawa maafisa ardhi wanaopitisha hivyo vichochoro wana akili timamu kweli?, kiwanja upana m 14/15 huu si uchochoro huu,
Lego lao mtu apate access kwenye barabara kuu, ila ukweli kiwaja cha mita 15 kwa upana huwezi kujenga nyumba ya maana kwa kawaida inakuwa na upana 15 to 25m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…