Kingkola inanikumbusha kama Stori ya Nyokaaa mchizi wa Unga Limited.......Kingkola mbwa mzee.
Sa ivi umekuja the weekend-earned itUki-play mingine usisite kushea
nadownload huo if i let you go
Bonge ya ngoma hiyo, naikubali sanaWestlife- If I let you go
Nakupenda sana HIPHOP zaidi ya machizi wangu wa kitaa acha tunaokesha nao bar....Roho 7- Nakupenda HipHop
Njoo tuwe pamoja kama Enomic na Zig,pole kwa yaliyokukuta naamini mi mteule machozi nitakufuta/ dear,
wee ndo urithi nloachiwa na bro Pac na Biggie