Unasikiliza wimbo gani muda huu?

Unasikiliza wimbo gani muda huu?

I need you dear
Screenshot_20220507-175518.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ellie goulding hapa something.....🎶🎶🎶
Ellie goulding lights 🔥🔥
 
Habar

Kila siku na mood yake!mi saa izi nasikiliza wimbo

Wa “lavalava -habibi”

#maishaSiyoKuwaSeriousMudaOte

Tuambie unasikiliza wimbo gan Au ndo unasikiliza makelele ya mkeo??
Nipo hapa nasikiliza nyimbo ya msondo ngoma baba ya muziki inaitwa 'mapenz kizungumkuti'.
 
Tunamskiliza jamaa anauza bidhaa kwenye basi la Extra Luxury mkuu.

Wamezima mziki...!
 
Back
Top Bottom