Kuna wale jamaa walihamia eisitii wazwarendo aisee sijui wako wapi sijui wamekufa au lah ila director wao aliwaseti vibaya mno na kuna jamaa mwingine akasema anaenda kuichukua kigamboni nae sijui vipi hali yake huko aliko au alinyimwa hela za kampeni na boss wao mkuu,hakika usaliti dhambi ya hovyo sana msaliti hana tofauti na kichaa.lucas ye kaamua kukaza hataki la kusikia wala la kuambiwa huko mbozi kwao wanamkubali kinoma noma tumuache.