CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Niko feri nashangaa pantoni inaelea na shillingi inazama.
Me namshanga mtu aitwaye wakati ndio sasa... king'ang'anizi kama kupe! Naomba uninong'oneze hivi ulimpa nini ukampagawisha? Na nitakushanga zaidi endapo utaweka kapuni jibu langu.
Unashangaa shangaa nini?
Kamshange Diamond,
Uso fanta, miguu pepsi, kiwiko vimto.
Unashangaa shangaa nini?
Kamshange Diamond,
Uso fanta, miguu pepsi, kiwiko vimto.
Najishangaa mwenyewe kila siku hii twapo leo nazidi kumpenda:................M::::::::::::B
nashangaa navoona arusha one kunifungia vioo kama haelewi alichonipromic, na nakushangaa weye shosti wangu kwa kunkalia kimya hata pm
Unashangaa shangaa nini?
Kamshange Diamond,
Uso fanta, miguu pepsi, kiwiko vimto.
Nashangaa Mr. & Mrs kulala na chupi!
Hapo maslahi ya couple yapo kweli?
Labda!
Ukizingatia hata yule tourist wa NASA hapajamuhusu!
Itifaki gani hiyo?
Nasindwa kusangaa!
halooo, kumbe ngoja nianze kumchunguza from today!