Unasemaje kuhusu hii picha ya leo?

Huyu dada yaelekea yuko na mtu, ambae ndie ameenda kulipa.

Yeye dada ameamua kusubiria, huku aking'aa ng'aa macho hapo karibu na masanamu.

Anakijua anachokifanya
 
Kumbe midoli hahaaaa

Ila inachanganya kiukweli assume ndo ile ya kike...

Pole yake
 
huyu shosti namfahamu kamaliza chuo kikuu mwaka jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…