mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,811
- 11,028
Hahaaaa duuh!!kuna wengine ukimaliza tu unasikia nywele zangu ushaziaribu naomba ela ya kusuka
Hahaaaa duuh!!kuna wengine ukimaliza tu unasikia nywele zangu ushaziaribu naomba ela ya kusuka
TuunganeAiseeh
Ngoja niendelee kupata ujuzi mbalimbali kupitia comments zenu
mbona unaguna! Wewe hujawahi kusema ahsante?Mmmmh
Hiyo muhimuUnasemaga asante baada ya tendo la ndoa? Ama unafikiri haina haja ya kushukuru kwa maana ni haki yako? Mimi huwa ninashukuru wewe je?
kwa hiyo hata kufuta hilo dudu hufuti? me napenda ukimaliza usubiri kidogo kama dakika mbili ndiyo utoe si unakojoa unaruka kama ulienda kutupa uchafu jalalani unakimbia sababu ya harufu kali ya uchafu .....

Na uzee wote ulionao ujuzi wa nini tenaAiseeh
Ngoja niendelee kupata ujuzi mbalimbali kupitia comments zenu