Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,734
- 3,655
Nimependa sana hii!!!Mapenzi ni mojawapo ya feelings.,, Feelings unaweza kuzitii, kutozitii au kuzidirect somewhere else...,!! ni ww utakavyoamua...!! Hufi wala hupati madhara ya kibaolojia usipozitii feelings zako.,, Binafsi ziendekezi mafeeling yasio nisaidia maishani and i choose to be rational and use Feelings in my own advantage..,,!!
Mfano kwenye swala la mapenzi binafsi ziwezi chukua Mtu ambaye hana economic future na maisha yake mwenyewe..,, "Nimemchagua ambaye nitampenda baadae" kwa kufupi but "cjamfeel pengine kwa wakati huo"...,, Wew unayeendekez mafeeling ndo mnakujaga kufa na mistress kibao na mi pressure juu yake.,, BE RATIONAL...!!
By the way African in our traditions toka zamani izo hatuna tamaduni za kuendekeza feelings za mapenzi.,, WE CHOOSE TO LOVE and WE NORMALLY DO NOT FEEL TO LOVE SM1....!!
Watu wanafikiri ukishapenda ty basiiii uitikie..wakati unaweza kupenda na vya haramu.