Unasalimiwa....

Hahahaha jf raha kweli lol
Nakuunga mkoo aisee yaani mabosi wangekua wanajua nini kinaendelea kwenye hizi laptop zao maofisini wengi kazi kwishney...maaana mimi asubuhi lazima nalogin alafu naminimize naenda kuchukua kikombe cha kahawa alafu na maxmize nasoma kidogo alafu na minimize alafu ndo naanza kazi za ofisi... hahahahhha balaa hili. JF forever babe..!!
 

Umeonae?......ukiwa memba wa jf hufi kwa presha wala kisukari lol.....stress free muda wote!

Acha kabisa usiseme kuhusu mabosi manake siku wakitungundua lazima vibarua viote nyasi!
 
Bahati ya nini tena Platoo... siku hizi mimi labda uniwekee kreti ya Kesto bridiiii zinazotoa jasho, hapo kwa kweli utaniweza...hayo mengine zero kabisa ndo maana wife huwa hanaga tatizo hata kama akiniona naongea na demu mkali kiasi gani.

Anakulia timing wewe hujui..........ngojea siku ammwagie mtu maji ya moto ndipo utapata habari yake
 
aisee kumbe nini wewe ndugu yangu ,ndo mm bwana nilikuchunia jana beach
tatizo ulikuwa unamkodolea mimacho my wife wangu!
ndo maana nikakupotezea,alafu wife itabidii anieleze kwani alienda kukuomba msamahaaa
 
aisee kumbe nini wewe ndugu yangu ,ndo mm bwana nilikuchunia jana beach
tatizo ulikuwa unamkodolea mimacho my wife wangu!
ndo maana nikakupotezea,alafu wife itabidii anieleze kwani alienda kukuomba msamahaaa

Hahaha..muulize pia kwa nini alikukashfu una mambo ya kizamani.
 
kumbe ni bahati kuombwa gazeti??

Kuna mtu kaniomba kitabu cha 'songs of Lawino' na ananilazimisha niwe namsomea afu nyumbani kwake, na ni jinsia tofauti na mie.

Mh...basi utakua unasauti nzuri sana Kongosho
 




Nakwambia ulijuaje, unaombea kazi zisiwe nyingi kila siku
 
Umenichekesha sana mmm! JF kweli ni burudani tosha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…