Unasafiri bila taarifa

Unasafiri bila taarifa

bahati mbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
578
Reaction score
193
Wana JF habari za majukumu ya kila siku.

Mme anasafiri mara kwa mara bila taarifa, wakati mwingine akisijikia anakupa taarifa wakati kaishafika safari yake.

Mke akitaka kusafiri anampa taarifa mmewe inadvance siku mbili au tatu kabla kama safari yenyewe imepangwa kwa muda mrefu iwe ya kikazi au binafsi. Mme akiishapewa taarifa hiyo hiyo maswali yanazidi mpaka kuwa kero. Tena safari nyingine ni za kikazi.

Ushauri jamani.
 
Omba tu isiwe bahati mbaya ikawa dodoma=sinza,mbeya=kwa jirani nyumba ya pili
 
Wana JF habari za majukumu ya kila siku.

Mme anasafiri mara kwa mara bila taarifa, wakati mwingine akisijikia anakupa taarifa wakati kaishafika safari yake.

Mke akitaka kusafiri anampa taarifa mmewe inadvance siku mbili au tatu kabla kama safari yenyewe imepangwa kwa muda mrefu iwe ya kikazi au binafsi. Mme akiishapewa taarifa hiyo hiyo maswali yanazidi mpaka kuwa kero. Tena safari nyingine ni za kikazi.

Ushauri jamani.
Ndoa ni uvumilivu.
 
sasa tukushauri nini?
kwani wewe unataka kufanya nini?
Si ndio ndoa hiyo na dynamics zake.
 
Ukiona mtu kaja kuomba ushauri ina maana yamemfika shingoni.
 
Ukiona mtu kaja kuomba ushauri ina maana yamemfika shingoni.

hivi unaweza toa ushauri kwa maelezo machache kiasi hicho ilhali huwajui wahusika?
Haya basi mimi nakushauri mambo mawili, chagua ambalo unaona litakufaa.
1: Muache huyo mume, kwani ni laghai tapeli na mkorofi; hata kama angekuwa mng'oa kucha kama mkewe ulipaswa kujua kuwa mume wangu ni Usalama wa sisiemu.

au

2: Vumilia, na mlilie Mungu huwenda siku moja akabadilika ukizingatia ndoa ni mpaka kifo kiwatenganishe hivyo vumilia tu; kwani wewe huna mapungufu?

Haya chagua mama, au niongeze ushauri no 3 na 4?
 
Ulishawahi kuongea nae na kueleza hisia zako kwake kwa kusafiri bila kukutaarifu? kama bado kaa nae chini mliongelee umsikilize na sababu zake. Ni tatizo ambalo linaweza kutatuliwa bila ugomvi au hata kuja huku JF. Kila la kheri
 
Tusimlaum Tu Huyo Mume Nawe Mke Heb Jichunguze Mienendo Yako Inawezekana Kuna Mambo Unayofanya Yanafanya Asikuage Pengne Hakuamin Akikuaga Unaweza Kupanga Mipango Ya Kumchakachua Ndo Mana Anakushtukiza Ili Usipate Iyo Nafas
 
Shida inakuja pale ambapo unaona yanakuwa mazoea. Mwanzoni ilionekana kama dharura vile ndiyo maana kaondoka bila kuaga. Matokeo yake yamekuwa mazoea, shida ndiyo inapoanzia.
 
Ni udhaifu wa baadh ya wanaume km siyo weng wao,take it simple na endelea kuonesha hisia zako kwako jinsi ambavyo hupendezw na hiyo tabia yake mueleze kwa hekima na upole na ww usiache kutoa taarifa upatapo safar endelea hvyo bila kuchoka na zaid jitahid kuwa mkwel na muwaz zaid,atajifunza toka kwako, WISHING U HAPPY MARRIAGE.
 
Wana JF habari za majukumu ya kila siku.

Mme anasafiri mara kwa mara bila taarifa, wakati mwingine akisijikia anakupa taarifa wakati kaishafika safari yake.

Mke akitaka kusafiri anampa taarifa mmewe inadvance siku mbili au tatu kabla kama safari yenyewe imepangwa kwa muda mrefu iwe ya kikazi au binafsi. Mme akiishapewa taarifa hiyo hiyo maswali yanazidi mpaka kuwa kero. Tena safari nyingine ni za kikazi.

Ushauri jamani.

umepoteza umuhimu kwake. Jichunguze labda dharau/nyodo/ zimezidi au heshima imepungua.
 
hii miwanaume hiiii
hapo ukute linaongozana
na king'amuzi kama ndio mke vile!!
 
[TD="class: xl67, width: 54"]Wefeso[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]5[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28"]23[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737"]Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. [/TD]
 
Wana JF habari za majukumu ya kila siku.
Mme anasafiri mara kwa mara bila taarifa, wakati mwingine akisijikia anakupa taarifa wakati kaishafika safari yake.
Mke akitaka kusafiri anampa taarifa mmewe inadvance siku mbili au tatu kabla kama safari yenyewe imepangwa kwa muda mrefu iwe ya kikazi au binafsi. Mme akiishapewa taarifa hiyo hiyo maswali yanazidi mpaka kuwa kero. Tena safari nyingine ni za kikazi.
Ushauri jamani.

Hata tukiagwa tunashukurani basi!
Inakuwa kama polinyinyiem inaombwa kuandamana bwana!
 
Ukiona mtu kaja kuomba ushauri ina maana yamemfika shingoni.
Jitahidi mmeo asiinfluence zaidi ya 30% ya maisha yako. Ulizaliwa kivyako, ukakua kivyako, mkakutana ukubwani. Kama ni safari kweli, kama ana mambo yake shauri yake. Huwezi kumcontrol binadamu, tena mtu mzima. Kama una wasiwasi na nyumba ndogo hicho sio kitu wanawake wanahofia tena siku izi. Nyumba ndogo na vidumu zipo na sizikisababishe ukaishi kwa huzuni, maisha menyewe mafupi haya. Kuwa happy, enjoy every minute of your life and stop giving attention things you can never change.
Nikwambie kitu, hebu acha kuwaza hayo mambo, chukulia ni poa, kuwa na furaha na mmeo all the time hata kama anafanya vitu vya kukupa wasiwasi, then usipoona miezi michache ijayo na safari zikapungua. Hata ingekuwa mimi nikishaona mke wangu ameanza kunitilia wasiwasi, hana furaha nami, anadiscuss mambo ya familia yetu nje, lazima "safari" ziongezeke, tena kwa sana tu. Kama huwezi kujipa furaha mwenyewe, usitarajie utaweza kumpa mtu mwingine....
 
Dawa ya mwanaume mwenye nyumba ndogo nawe ni kumpata kidumu wa ukweli.
 
Kama unaishi kwenye ndoa yako na maisha yenu katika ndoa yamekua hivyo, ni bora ukaangalia mambo matatu muhimu.

  1. Kumuomba Mungu kila mara huku ukiendelea kuongea na mumeo huenda akabadilika kitabia.
  2. Kufungasha virago vyako na kuangalia ustaarabu mwingine.
  3. Kuendelea kuwa na moyo wa uvumilivu mpaka siku mumeo akiamua kubadilika.
 
Back
Top Bottom