Unaruhusuje Mitaala ya nchi za magharibi itumike nchini halafu unayakataa Maadili yao?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Hali waliyofikia wazungu katika maswala ya Jinsia kiukweli inatisha.

Kwa sasa Watoto wa kizungu wanafundishwa kujitambua kama "Mtu" na siyo kama Mvulana au Msichana

Serikali lazima iachane na Mitaala ya Magharibi vinginevyo hakuna namna ya kuwaokoa Watoto wa Matajiri na Viongozi wanaosoma shule hizo za Kimataifa.

Ushoga umefikia pabaya ndio sababu Qatar walikuwa wakali kwenye FIFA World Cup.

Prof Mkenda chukua hatua zaidi
 
Wazazi wa Tanzania wapo busy na CCM,hawana habari kuwa syllabus zinafundisha watoto wao ushoga huko mashuleni👇🐒🐒🐒
908643.jpg
 
Ndiyo tatizo la "C&P" kwa kila kitu ili watu waonekane kuwa tamaduni zao ni za Kimagharibi zaidi kuliko hizi wanazozidharau na kuziona duni kwa kuwa ni za Kiafrika.

"Aficanity' ndiyo mpango mzima kimaadili na kiroho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikri neno mtaala ni pana. Htuwezi kukubali kila litu na hatuwezi kukataa kila kitu. Mfano science. Whether imetoka wapi ni universal. Haijalishi mvumbuzi. Swala la morality hilo lina standards nyingi na Mara nyingi it's subjective.
ni sawa science itabaki kama ilivyo lkn kuna maudhui mengine yaliyoko kwenye mitaala yetu hayatufai sababu ni ya kimagharibi zaidi.
 
Kipindi kifupi kilichopita, kiswahili tulikuwa tumeanza kukipromot kimataifa na kikapokelewa Africa na ughaibuni na mpango ilikuwa tuwe na mitaala yetu insyotumia lugha ya kiswahili na nchi itoe wataalam wengi kwenda huko duniani kufundisha kiswahili, haya yalikuwa ni maono ya kibiashara na tusingepungukiwa na chochote kuondoa lugha ya hao mashoga waliojifichia kwenya kuleta ushoga kupitia njia nyingi ikiwemo lugha yao!

Hivi majuzi, bila kuelezwa ni vipi kiswahili chetu kimezua nini huko juu, tunaambiwa eti turudi tena kwenye lugha ya kikoloni

Hivi ni kweli tulipoamua kujitawala, tulikuwa na nia ya kuwa huru na kufuata tutakacho ama kuna mengine hatupaswi tujitawale?

Ni kweli mkabisa Serikali isijue kuwa huko kwenye baadhi ya Taasisi zake zimeingiza mambo ya hovyo na tayari zinafundishia wananchi wake?

usalama wa nchi yetu uko wapi, ikiwa tu ndani ya nchi, kuna vitu tena vinafanywa mchana kweupe na katika halaiki ya watu na wanausalama wako kimya?

Kuna kitu hakiko sawa! Ndo yale ya.. waacheni waseme usiku watalala na sisi tunaingiza mkwanja!

Kuna siku haya mambo! Serikali yote itaja kutiwa moto yote huko jehanam
 
Hali waliyofikia wazungu katika maswala ya Jinsia kiukweli inatisha

Kwa sasa Watoto wa kizungu wanafundishwa kujitambua kama " Mtu" na siyo kama Mvulana au Msichana

Serikali lazima iachane na Mitaala ya Magharibi vinginevyo hakuna namna ya kuwaokoa Watoto wa Matajiri na Viongozi wanaosoma shule hizo za Kimataifa.

Ushoga umefikia pabaya ndio sababu Qatar walikuwa wakali kwenye FIFA World Cup.

Prof Mkenda chukua hatua zaidi
Nyumba haina baba sasa hivi. Na wanawake huwa hawana tatizo na mashoga. Wao wana ugomvi mkubwa na machangudoa. Wakiwaonaga wanawake wameanika nyuchi zao pale Riverside, Zambezi, na Kona Baa (Sinza) ndo huwa wanakasirika. Lakini mashoga ni mashoga zao hawanaga ugomvi nao wanawapendaga sana kwenye masaluni.
 
Hali waliyofikia wazungu katika maswala ya Jinsia kiukweli inatisha

Kwa sasa Watoto wa kizungu wanafundishwa kujitambua kama " Mtu" na siyo kama Mvulana au Msichana

Serikali lazima iachane na Mitaala ya Magharibi vinginevyo hakuna namna ya kuwaokoa Watoto wa Matajiri na Viongozi wanaosoma shule hizo za Kimataifa.

Ushoga umefikia pabaya ndio sababu Qatar walikuwa wakali kwenye FIFA World Cup.

Prof Mkenda chukua hatua zaidi
Ile methali ya mtaka cha uvunguni sharti ainame tumeisahau?

Na kuna wakati mchonga alituonya kuwa wale wanaosema kule nje kuna hela nyingi, siku mkiletewa hela ya wauza bangi mtafanyaje?

Kimsingi, maadili ya magharibi yamemomonyoka sana na washaamua kuleta hilo zahma dunia nzima.

Historia inaonesha shule nyingi hapa Tanganyika na wakati wa Deusche Ostafrika zilimilikiwa na mashirika na dini hasa Anglican, Lutheran na Catholics. Moja ya msingi wa Imani ni kutii amri 10 za Mungu na kufuata biblia kama msaafu kimaadili hasa kwenye kuzuia uzinzi na uasherati.

Baada ya Uhuru kupatikana, JKN na waliofuatia walibaki wakiamini sheria za kuzuia uasherati na wenye mimba walifurushwa shule.

Misaada imetufanya 'tuiname' na sasa kama wenye mimba wanaruhisiwa kusoma na ruksa kurejea baada ya kujifungua, msingi wake, sheria ya kuzuia uasherati mashuleni sioni kama inasimama tena.

Ngamia huanza kuongoza kwato, baadae miguu, baadae kichwa, baadae mwili mzima na kajumba huwa kanajiangukia.

Tukifanya tathmini, sijui ngamia Yuko stage gani kwenye kutaka kuzama ndani ya nyumba yetu.

Profesa Mkenda 'anakomaa' ila wale wanaotoa budget support wizara ya Elimu kama wataona anazuia 'koneksheni' je atabaki kazini?

Kama alivyowahi kugoma kusaini kutoa vibali vya sukari kinyume na utaratibu, je, wazeiya wakimwaga pichi na kushinikiza mitaala ipitiwe upya ili masuala ya 'upinde wa mvua' kuwa sehemu ya mafunzo, na sio lazima kuona kuna he na she ila tukaaminishwa wanadamu ni zaidi ya he na she, je, prof ataweza kusimama kama Qatar kuzuia mafuriko ya mmomonyoko wa maadili bila support ya toka juu.

Wakati huzungumza na kufichua mengi yaliyositirika.

Mchana mwema!
 
Nafikri neno mtaala ni pana. Htuwezi kukubali kila litu na hatuwezi kukataa kila kitu. Mfano science. Whether imetoka wapi ni universal. Haijalishi mvumbuzi. Swala la morality hilo lina standards nyingi na Mara nyingi it's subjective.
Ukisha kubali kuchutama we chutama tu.
 
Ile methali ya mtaka cha uvunguni sharti ainame tumeisahau?

Na kuna wakati mchonga alituonya kuwa wale wanaosema kule nje kuna hela nyingi, siku mkiletewa hela ya wauza bangi mtafanyaje?

Kimsingi, maadili ya magharibi yamemomonyoka sana na washaamua kuleta hilo zahma dunia nzima.

Historia inaonesha shule nyingi hapa Tanganyika na wakati wa Deusche Ostafrika zilimilikiwa na mashirika na dini hasa Anglican, Lutheran na Catholics. Moja ya msingi wa Imani ni kutii amri 10 za Mungu na kufuata biblia kama msaafu kimaadili hasa kwenye kuzuia uzinzi na uasherati.

Baada ya Uhuru kupatikana, JKN na waliofuatia walibaki wakiamini sheria za kuzuia uasherati na wenye mimba walifurushwa shule.
Misaada imetufanya 'tuiname' na sasa kama wenye mimba wanaruhisiwa kusoma na ruksa kurejea baada ya kujifungua, msingi wake, sheria ya kuzuia uasherati mashuleni sioni kama inasimama tena.

Ngamia huanza kuongoza kwato, baadae miguu, baadae kichwa, baadae mwili mzima na kajumba huwa kanajiangukia.

Tukifanya tathmini, sijui ngamia Yuko stage gani kwenye kutaka kuzama ndani ya nyumba yetu.

Profesa Mkenda 'anakomaa' ila wale wanaotoa budget support wizara ya Elimu kama wataona anazuia 'koneksheni' je atabaki kazini?

Kama alivyowahi kugoma kusaini kutoa vibali vya sukari kinyume na utaratibu, je, wazeiya wakimwaga pichi na kushinikiza mitaala ipitiwe upya ili masuala ya 'upinde wa mvua' kuwa sehemu ya mafunzo, na sio lazima kuona kuna he na she ila tukaaminishwa wanadamu ni zaidi ya he na she, je, prof ataweza kusimama kama Qatar kuzuia mafuriko ya mmomonyoko wa maadili bila support ya toka juu.

Wakati huzungumza na kufichua mengi yaliyositirika.

Mchana mwema!
Umetoa maelezo mazuri sana
 
Back
Top Bottom