unarudi mahome unakutana hii

unarudi mahome unakutana hii

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,940
umetoka zako mzigoni unafika nyumbani unakutana na hii je utafanyaje
 

Attachments

  • toto tundu.jpg
    toto tundu.jpg
    50.6 KB · Views: 1,140
umetoka zako mzigoni unafika nyumbani unakutana na hii je utafanyaje

unajifinya na kujipiga ngumi kwa uzembe ulioufanya wa kutoiweka rangi store mbali na watoto na unamalizia kujitupa jalalani kwa kutowapeleka watoto day care au kutowanunulia michezo ya kuchezea ili wasiharibu vitu na ungojee kuchekwa na watu kwa kushindwa kuwatrain watoto kutoharibu vitu na ungojee kutukanwa na nesi kwa kutotumia nyota ya kijani na kama hao watoto ni mapacha subiri kupigwa na mumeo kwa nini umezaa twins badala ya mtoto mmoja mengine malizia mwenyewe...........
ila watoto raha sana wapende tuu na waambie mmefanya vema tena na wewe unachukua na kuendelea kupaka hiyo stili ya kioo heheheheheheheheheeeeeee
 
Mi ningetafuta kamera fasta kama alivyofanya huyo bwana aliyepiga hiyo picha.
 
ntafanya nini zaidi ya kuanza shuguli ya usafi maana hao ni wadogo sana hata pa kuchapa sipaoni
 
attachment.php



Pamoja na uzembe wa wazazi/walezi nadhani hawa watoto wanastahili kuachiwa sakafu tu, Aghrrr!!
 
Na sie wa foleni tunaoishia kufika nyumbani baada ya saa mbili usiku, walahi kulala saa nane kunakuhusu! Mpaka hayo marangi yatakate na hao wapaka rangi wenyewe........
 
Dah patamu hapo!! Halafu wanafurahia kweli kweli!! Sasa hiyo chocking ya rangi vifua vyao niaje? Dada hayupo? Ndiyo maana tunatamani sana wake zetu wake nyumbani walee angalao wakimaliza ndiyo waanze kazi. Sema hali ngumu ya maisha inabidi wote wafanye kazi tu. House Girls ni noma sana. Na baby care kwa nchi kama zetu ni bado sana. Hivi nikianzisha baby care classic ni mradi!! Ngoja niuandikie business plan!!
 
Wanaonyesha kipaji chao, wapeleke shule ya paintry
 
umetoka zako mzigoni unafika nyumbani unakutana na hii je utafanyaje
Konabo;
Unawapa zawadi, we huoni watu wenyewe walivyopendeza? Halafu unawaambia kuwa siku nyingine ukiwakuta wamefanya hivyo utawanyima zawadi. Kesho yake ukirudi ukawakuta hawajafanya hivyo, unawapa zawadi tena,..., kwisha habari yake!
 
Kwanza utaanza ahahahaha, mmefanya nini kisha unapiga ngumi kwenye kochi, wakishituka kama wanataka kulia unabembeleza njooni wanangu kisha Unawaogesha na tin. lol! unaanza kazi ya usafi.
 
Kwanza utaanza ahahahaha, mmefanya nini kisha unapiga ngumi kwenye kochi, wakishituka kama wanataka kulia unabembeleza njooni wanangu kisha Unawaogesha na tin. lol! unaanza kazi ya usafi.

hapo nyekundu NIMECHEKA SANA.
 
Back
Top Bottom