Unapovamia nyumbani kwa mtu bila taarifa

Unapovamia nyumbani kwa mtu bila taarifa

Ukitaka kuondoa usumbufu India Viatu Na ndala nje funga mlango we uone kama kuna atakayesumbua, kama hauna feni utajiju
 
hahaha! pole mkuu vpi hadi leo mzingo hujapiga!

Sijapiga mkuu. Manzi yenyewe ilikuwa J3 inasepa inarudi mkoani kazini kwake. Na ndo ishasepa ivo. Yaani nlimaindi kinoma.
 
Tukirudi kwenye mada, hii kitu ya mtu kugonga sipendi sana.

Tuwe wastaarabu, ukigonga mara moja ukaona kimya then leave immediately sio kung'ang'ana
 
Tukirudi kwenye mada, hii kitu ya mtu kugonga sipendi sana.

Tuwe wastaarabu, ukigonga mara moja ukaona kimya then leave immediately sio kung'ang'ana

Ni kweli, mtu anagonga kwa vurugu kabisa sijui maana yake nini!?
 
Nami kuna mjinga mmoja alinikosesha mbunye last Saturday kwa style hii ya kipuuzi. Aligonga wakati manzi ashalainika na mwanzo alikuwa kakataa kunipa mzigo. Sasa wakat ameshalainika na anaanza kunogewa na ashajiachia naanza kujisevia jinga moja likagonga mlangoni sana kama dk mbili nzima. Ile ku pay attention mlangoni muda wote ule na wasiwasi wa dem mzuka wote ukaisha. Dem akazingua hataki tena. Nlimaindi sana na ana bahati sikubahatika kumuona matter core yake!

Hahahahahahhahahahahaha... Aiseee nimecheka sana: pole mkuu, yaani napata picha hapa! Hahahahahh dah
 
Labda simu yake imeisha chaji, labda hana salio, labda kapoteza namba....na kwako anapajua, si anakuibukia tu!!!
 
Back
Top Bottom