Unapovamia nyumbani kwa mtu bila taarifa

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,145
Hakuna watu wanaonikera kama hawa, pamoja na kukua kwa teknolojia ya mawasiliano bado mtu anaibuka tu nyumbani na kuanza kugonga milango kwa fujo bila kujali ni muda gani, upo na nani na unafanya nini!!

Mi ninachofanya nikifika nyumbani nalock milango tu, sasa hapo mtu atagonga atachoka!!
 
Wamekusikia! hata mimi wananikera sana
 
Hakuna watu wanaonikera kama hawa, pamoja na kukua kwa teknolojia ya mawasiliano bado mtu anaibuka tu nyumbani na kuanza kugonga milango kwa fujo bila kujali ni muda gani, upo na nani na unafanya nini!!

Mi ninachofanya nikifika nyumbani nalock milango tu, sasa hapo mtu atagonga atachoka!!

Hahahahaaaa kama mimiiii...
Mtu anagongaa nasogeza pazia la drisha kidogo namchungulia sasa ukute sina ishu na wewee utafrahi na shoooo... sasa hapo kama mpo wawili au mwenyewee utaanza kusema oooh sijua hayukoo au amelaala, ila lbd hayukoo kugonga kote asisikie lzm hayupo kumbee niko nimejaa teleee basi kero zako na wewe ndio sizpendi.
 
Nami kuna mjinga mmoja alinikosesha mbunye last Saturday kwa style hii ya kipuuzi. Aligonga wakati manzi ashalainika na mwanzo alikuwa kakataa kunipa mzigo. Sasa wakat ameshalainika na anaanza kunogewa na ashajiachia naanza kujisevia jinga moja likagonga mlangoni sana kama dk mbili nzima. Ile ku pay attention mlangoni muda wote ule na wasiwasi wa dem mzuka wote ukaisha. Dem akazingua hataki tena. Nlimaindi sana na ana bahati sikubahatika kumuona matter core yake!
 
Hahahaaa haikuwa bahati yako
 
hahaha! pole mkuu vpi hadi leo mzingo hujapiga!
 
Nami kuna mjinga mmoja alinikosesha mbunye last Saturday kwa style hii ya kipuuzi. Aligonga wakati manzi ashalainika na mwanzo alikuwa kakataa kunipa mzigo. Sasa wakat ameshalainika na anaanza kunogewa na ashajiachia naanza kujisevia jinga moja likagonga mlangoni sana kama dk mbili nzima. Ile ku pay attention mlangoni muda wote ule na wasiwasi wa dem mzuka wote ukaisha. Dem akazingua hataki tena. Nlimaindi sana na ana bahati sikubahatika kumuona matter core yake!

Ungemuona ungemng'ata???.
 
Back
Top Bottom