Unapopigiwa simu na wife

Unapopigiwa simu na wife

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,254
Unapopigiwa simu na wife halafu akauliza uko wapi ujue kuna kitu kinafuatia
Wife:uko wapi
Me:kazini
Wife😛itia maziwa
Wife uko wapi
Me:chumbani
Wife:angalia bomba ya bafuni inavuja
Wife: Uko wapi
Me:sebuleni
Wife: Washa pump ya maji
Wife:uko wapi
Me:nje
Wife:Mwagilia matofali
Wife uko wapi
Me:Kigoma
Wife:njoo na migebuka
Wife: Uko wapi
Me:Morogoro
Wife: Njoo na viazi
Wife: Uko wapi
Me Baa nakunywa
Wife: Njoo na soda za watoto
YANI POPOTE ULIPO LAZIMA KUWE NA KITU MUAFAKA CHA KUKUTUMA

Wanaume tuna kazi....
 
Na muda wte huo atakua anapga tu yeye ypo wap?
 
Ukiona unaulizwa hivyo ujue wazi wewe ni kiruka njia, Mimi siulizwagi
 
Back
Top Bottom