Unaponyang'anywa tonge mdomoni unajisikiaje?

Kuna mtu alishanyanganywa tonge mdomoni, kumbe kulikuwa na mpango wa kumuua na tonge lilikuwa limewekewa sumu.

Kwa hiyo aliyenyang'anya akala akafa.

Kwa hiyo mara nyingine kinachoonekana kama balaa kinaweza kuwa baraka iliyojificha.
 
Kiranga...........................that is true.............kufa kufaana...............na wakati mwingine kheri nusu ya shari kulikoni shari kamili
 
Du hivi kunyang'anywa ni sawa na kulitema?

Maana unaweza usinyang'anywe lkn ukaliona halifai ukalitema! Kwa case ya pili, ni unafeel hasira na majuto. Hii ya kwanza sina experience nayo!
 
Du hivi kunyang'anywa ni sawa na kulitema?

Maana unaweza usinyang'anywe lkn ukaliona halifai ukalitema! Kwa case ya pili, ni unafeel hasira na majuto. Hii ya kwanza sina experience nayo!

Kaunga funguka.....ya kwako uliyowahi kukutana nayo ikoje?
 
Then tonge kama hilo hata mtu akija kulikwapua sidhani kama itauma saana maana lilikuwepo kwa ajili ya kumegwa tu na si vinginevyo.

kwa hiyo unaliachia maumivu tu?
 
Mhhh Mkuu kuna matonge mengine hayamezeki kila ukijaribu kuliweka mdomoni linakataa so unashukuru hata akija mtu kulinyakua mkononi mwako unashukuru kuwa mzigo umeondoka

Ya kweli hayo mpenzi?
 
Umeona eeehh
matonge mengine bora tuu hata kunguru alikwapue maana halifai kumeza waliweka mkononi waliangalia tuu kulimega washindwa kulitupa washindwa
ukiona mtu anakuja kulichukua washukuru Mungu afadhali limeondoka

Ulimege mara ngapi wakati liko mkononi tayari??
 
Kaunga funguka.....ya kwako uliyowahi kukutana nayo ikoje?

Mimi bado bwana sijawahi kupokonywa, kudokolewa sawa lakini si kupokonywa kabisa. Sasa tonge likiruhusu mwingine alidokoe nalitema kabisa!

Ila du la sasa hivi, naona sikubali lidokolewe (tamu hiloo) nna mpango wa kulimeza mapema (thanks kwa ushauri dear friend),
 
Hongera kaunga..........ukishikwa shikamana...................lol
 
poa tu maana linawezu kuwa na sumu...aliyeninyang'anya ameniepushia kifo.

wasiwasi wako tu kama lilikuwa mdomoni na hukupatwa na sumu hata ukilimeza hutapatwa na hiyo sumu.............limeze ndugu yangu................ulifaidi tonge lake acha kuwaachia wengine wakalimeza kwa niaba yako.....looooooool
 
Back
Top Bottom