G
guest-1790917349
Guest
Wanasema muovu akiokoka anakuwa ana upako mkali kuliko hata mlokole wa siku zote!
Shetani akizeeka anakua malaika
Wanasema muovu akiokoka anakuwa ana upako mkali kuliko hata mlokole wa siku zote!
Yeye alidhani analinda chake kumbe analinda cha mwenzake!!!!
Kazi kweli kweli!!!!!
Shetani akizeeka anakua malaika
hahahahahaha christine ibrahim umenichekesha sana hapa....
Ila hapa shetani hakuzeeka ila aliishiwa mbinu so akatoa zile za chini ya uvungu!
Hiyo ya mapochopocho na vijisenti acha.we fikiria mtu alikuwa akohoi! Akihoa kidogo 'beby jioni usipike ntakupitia twende dodoma hotel kwa dina', umesema unashida na sh ngap? Ok dear hii laki 5 inakutosha? Teh kwanini asilianzishe ?
Ila nimeupenda moyo wa huyo dada.
Ana moyo wa kijasiriamali.....
Kwanza alipambana kwa nguvu zote, baadaye akaona bora tukose wote ila bado alikiri kuwa moyo wake umemdondokea jamaa lol....
Usishangae baadae kuambiwa jamaa amerudisha majeshi kwa huyo bishosti
Wanasema muovu akiokoka anakuwa ana upako mkali kuliko hata mlokole wa siku zote!
we fikiria mtu alikuwa akohoi! Akihoa kidogo 'beby jioni usipike ntakupitia twende dodoma hotel kwa dina', umesema unashida na sh ngap? Ok dear hii laki 5 inakutosha? Teh kwanini asilianzishe ?
Mkuu ebu oanisha comment yako na mada
sawa mkuuNimemfafanulia Eiyer hapo juu na kaelewa....
Kama bado hujaelewa usijali tutatoa summary mwisho wa kipindi, kuwa mvumilivu mtu mzima!
Kusema ukweli wanawake wa aina hii nashindwa kuacha kuwatofautisha na makahaba
Hakuna tofauti kabisa!!!!!!!!!!!