Unapomuoa mwanamke ambaye tayari amezaa, ameolewa,

Wandugu hivi unapomuoa mwanamke ambaye amezaa/alishaolewa na mwanamume mwingine, huko mbele ya safari hukumbuki alichokuwa anakifanya KITANDANI NA MUME mwenzio na kuona umepotea!!!!

...waaala! "mla mla leo bana, mla jana kala nini?"
My wish is to have one like that. Hakuna kusumbuana.
 
naniliyu haiona makombo,sasa wakati unamuoa na ww mwenyewe hukuwahi kuwa na uhusiana na mwanamke yeyote yule kabla yake?
 
Mapenzi ni heshima na kuvumiliana hayo mambo ya kukumbuka kitandani mlikuwa mnafanya yanakuja vip?
:smash:
 
Kuna watu ninawafahamu zaidi ya watatu wameoa 'CHANGU' na maisha yao ni mazuri hujawahi kuona.. MAVI ya zamani hayanuki, Ila ukitaka yanuke, Yachokonoe.
 
Sasa kati ya mwanamke ambaye amekuwa na mwanamme mmoja tu maishani mwake, maana mumme wake aliyeachana naye baada ya kuwa na mtoto, na mwanamke ambaye hajaolewa wala kuzaaa lakini kashaenda chini na wanaume 200, yupi ana afadhali ?

Mwenye afahali ni huyo aliyekuwa na wanaume 200 lakini hakuolewa nao

1. Hakuwahi kuapa kuwa mwaminifu kwao
2. Hakuwa committed kwao zaidi ya kujirusha na kujipa raha, hana sababu ya kuwakumbuka
3. Anakuwa na eksipiriensi katika kungonoka, hivyo atakupa ile kitu roho inapenda kwa mastaili tofauti....haitaji training.
4.
5.
6.

Hizo nyingine ntazitaja baada ya kuamka. Babu bado yuko kitandani.
 
Mi sioni tatizo mbona wengine hawajazaa lakini walifanya kamchezo ka kuchomoa mimba...... utawjuaje hao maana mhhhh
 
Mwenye afahali ni huyo aliyekuwa na wanaume 200 lakini hakuolewa nao

1. Hakuwahi kuapa kuwa mwaminifu kwao
2. Hakuwa committed kwao zaidi ya kujirusha na kujipa raha, hana sababu ya kuwakumbuka
3. Anakuwa na eksipiriensi katika kungonoka, hivyo atakupa ile kitu roho inapenda kwa mastaili tofauti....haitaji training.
4.
5.
6.

Hizo nyingine ntazitaja baada ya kuamka. Babu bado yuko kitandani.

Hujaamka tu uje umalizie?
 
Back
Top Bottom