Shagiguku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 409
- 138
Hivi wadau wa MMU, ilishawahi kukutokea weye mkaka ukamtongoza mdada au weye mdada ukatongozwa na mkaka ambaye UNAMFAHAMU A to Z.....!!!!!!???
Baaada ya kumtongoza anakusikiliza tu!!!! au unamsikiliza tu..!!!!!
Kisha baada ya hapo anaaanza kukuambia, "Hivi weye bujibuji umenisahau kweli leo, mimi si ndiyo brah brah wa kule kijijini kwetu. yaani mimi ni ndugu yako kabisa, mimi ni kama vile dada yako tu. Wewe ndugu zako si ni akina Mzeeee mwanakijiji, halafu heaven on earth ni dadaako.""
Na baaada ya kukueleza mammbo yote hayo anakutolea nje.
Ndugu yangu wewe ulijisikiaje hali kama hiyo ilipokutokea???
Je, uliendelea na mpango wako wa kumtongoza au ulijikuta unakuwa wa baridi kama ---- la marehemu!!!!!