ndio maisha...ajali zipo za aina nyingi, wengine ndio kama hivyo wanaangukia kwa watu wasio sahihi.Tukiwa wadogo mmoja wa majirani zetu alikuwa mtu mzito serikalini, enzi zile nilisikia alisomea shahada yake ya uchumi Makerere Uganda.
Alikuwa na mke mrembo sana, nilisikia pia wakati akiwa chuoni huko Uganda, akirudi likizo na kumpa ujauzito binti mmoja kijijini kwao. Wazazi wa yule binti walimsusa mtoto wao kwa wazazi wa bwana yule. Hivyo alivyohitumu masomo alikabidhiwa mke.
Sasa wakati ule wa ujenzi wa malaika makula Dodoma yule Baba ndiyo wana uchumi waliokuwa wanaaminiwa na kupelekwa Dodoma. Familia ilibaki Dar. Kwakweli yule mama staha hakuwa nazo. Alikuwa mlevi mbwa, tofauti na heshima ya yule mzee aliyokuwa nayo.
Kule Dodoma mzee alitengeneza pesa sana. Lakini kwa mifuko ya uongozi alishindwa kuanzisha miradi. Alianzisha biashara kubwa kwa jina la mkewe. Yule mama alishika pesa nyingi sana. Baba alipostaafu mkewe alimwambia huna chako hapa kila kitu ni mali yangu.
Yule mama alipata kijana kutoka nchi jirani alimuoa na kuondoka na mali yote. Alirudi akiwa mahututi baada ya kuambukizwa HIV na wakati huo ilishafikia kwenye AIDS.
Yule baba alimuuguza kwakua alikuwa mstaarabu. Mwisho wa yote alifariki.
Unapokosea kutafuta mwenza ni majanga.
Kufanikisha mwenza sahihi ni kudra za mwenyezi Mungu.....binaadamu 'are not static' bina adamu hubadilika kadiri anavobadiri mazingira, kubwa nikumshirikisha sana MunguTukiwa wadogo mmoja wa majirani zetu alikuwa mtu mzito serikalini, enzi zile nilisikia alisomea shahada yake ya uchumi Makerere Uganda.
Alikuwa na mke mrembo sana, nilisikia pia wakati akiwa chuoni huko Uganda, akirudi likizo na kumpa ujauzito binti mmoja kijijini kwao. Wazazi wa yule binti walimsusa mtoto wao kwa wazazi wa bwana yule. Hivyo alivyohitumu masomo alikabidhiwa mke.
Sasa wakati ule wa ujenzi wa makao makuu Dodoma yule Baba ndiyo wana uchumi waliokuwa wanaaminiwa na kupelekwa Dodoma. Familia ilibaki Dar. Kwakweli yule mama staha hakuwa nazo. Alikuwa mlevi mbwa, tofauti na heshima ya yule mzee aliyokuwa nayo.
Kule Dodoma mzee alitengeneza pesa sana. Lakini kwa mifuko ya uongozi alishindwa kuanzisha miradi. Alianzisha biashara kubwa kwa jina la mkewe. Yule mama alishika pesa nyingi sana. Baba alipostaafu mkewe alimwambia huna chako hapa kila kitu ni mali yangu.
Yule mama alipata kijana kutoka nchi jirani alimuoa na kuondoka na mali yote. Alirudi akiwa mahututi baada ya kuambukizwa HIV na wakati huo ilishafikia kwenye AIDS.
Yule baba alimuuguza kwakua alikuwa mstaarabu. Mwisho wa yote alifariki.
Unapokosea kutafuta mwenza ni majanga.
Story imenigusaTukiwa wadogo mmoja wa majirani zetu alikuwa mtu mzito serikalini, enzi zile nilisikia alisomea shahada yake ya uchumi Makerere Uganda.
Alikuwa na mke mrembo sana, nilisikia pia wakati akiwa chuoni huko Uganda, akirudi likizo na kumpa ujauzito binti mmoja kijijini kwao. Wazazi wa yule binti walimsusa mtoto wao kwa wazazi wa bwana yule. Hivyo alivyohitumu masomo alikabidhiwa mke.
Sasa wakati ule wa ujenzi wa makao makuu Dodoma yule Baba ndiyo wana uchumi waliokuwa wanaaminiwa na kupelekwa Dodoma. Familia ilibaki Dar. Kwakweli yule mama staha hakuwa nazo. Alikuwa mlevi mbwa, tofauti na heshima ya yule mzee aliyokuwa nayo.
Kule Dodoma mzee alitengeneza pesa sana. Lakini kwa mifuko ya uongozi alishindwa kuanzisha miradi. Alianzisha biashara kubwa kwa jina la mkewe. Yule mama alishika pesa nyingi sana. Baba alipostaafu mkewe alimwambia huna chako hapa kila kitu ni mali yangu.
Yule mama alipata kijana kutoka nchi jirani alimuoa na kuondoka na mali yote. Alirudi akiwa mahututi baada ya kuambukizwa HIV na wakati huo ilishafikia kwenye AIDS.
Yule baba alimuuguza kwakua alikuwa mstaarabu. Mwisho wa yote alifariki.
Unapokosea kutafuta mwenza ni majanga.
WHEN ANGEL MARRIES THE DEVIL, THE DEVIL CAN NEVER MAKE ANGELIC THINGS, HE/SHE WILL ALWAYS BID TO HIS ACTS.Tukiwa wadogo mmoja wa majirani zetu alikuwa mtu mzito serikalini, enzi zile nilisikia alisomea shahada yake ya uchumi Makerere Uganda.
Alikuwa na mke mrembo sana, nilisikia pia wakati akiwa chuoni huko Uganda, akirudi likizo na kumpa ujauzito binti mmoja kijijini kwao. Wazazi wa yule binti walimsusa mtoto wao kwa wazazi wa bwana yule. Hivyo alivyohitumu masomo alikabidhiwa mke.
Sasa wakati ule wa ujenzi wa makao makuu Dodoma yule Baba ndiyo wana uchumi waliokuwa wanaaminiwa na kupelekwa Dodoma. Familia ilibaki Dar. Kwakweli yule mama staha hakuwa nazo. Alikuwa mlevi mbwa, tofauti na heshima ya yule mzee aliyokuwa nayo.
Kule Dodoma mzee alitengeneza pesa sana. Lakini kwa kanuni za uongozi alishindwa kuanzisha miradi. Alianzisha biashara kubwa kwa jina la mkewe. Yule mama alishika pesa nyingi sana. Baba alipostaafu mkewe alimwambia huna chako hapa kila kitu ni mali yangu.
Yule mama alipata kijana kutoka nchi jirani alimuoa na kuondoka na mali yote. Alirudi akiwa mahututi baada ya kuambukizwa HIV na wakati huo ilishafikia kwenye AIDS.
Yule baba alimuuguza kwakua alikuwa mstaarabu. Mwisho wa yote alifariki.
Unapokosea kutafuta mwenza ni majanga.
Absolutely right.....Ila tufikie mahara wazazi tu washirikishe 100% watusaidie katika kuchagua 'right families' za kutowa mwenza.....some families are cursed with no lacky full of devil's habitsWHEN ANGEL MARRIES THE DEVIL, THE DEVIL CAN NEVER MAKE ANGELIC THINGS, HE/SHE WILL ALWAYS BID TO HIS ACTS.
ooooop! kumbe ndie alikuja kuwa mke wa ndoa!!!! hapo nimekusoma my role modelNdiyo huyo kumbe alikuwa mlevi toka huko kijijini, amefika mjini akaanza kunywa bia.
AiseeWHEN ANGEL MARRIES THE DEVIL, THE DEVIL CAN NEVER MAKE ANGELIC THINGS, HE/SHE WILL ALWAYS BID TO HIS ACTS.