Kuna wanao lia kimya kimya kuna wanao lia kwa sauti sasa Tanzania inahitaji watu wanao lia kwa sauti ili waelewe nini kinawatatiza na vijana tunao tegemea tuungane tulie kwa pamoja hawajui kulia wamebaki kama ukoko wa wali kwenye sufuri na ni waoga kama sabuni kwenye maji tukiamka kwa pamoja tunaweza kupaza sauti na kilio kikapewa kipao mbele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.