Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,198
- 24,570
- Thread starter
- #21
Ni kweli mkuu ila wengi wetu hatufanyi hayo kwa wake au waume zetu,na huwa yanafanyika kipindi cha uchumba mkiingia kwenye ndoa yote yanasahaulikaDaudi1,.Migogoro inanafasi nzuri sana ya kujifunza na kumfahamu vizuri mwenza wako.Ukishindwa kuzijua tabia,hisia,na yaliyokuwa matarajio yake kwako basi tarajia matatizo zaidi ikiwemo hiyo michepuko
Njia nzuri ya kuzuia kuchokana ni kupitia "mitoko". Tunaweza kuamua weekend hii twende maeneo ambayo wala hatujawai fika.So tumekwenda bagamoyo,kigamboni,bongoyo,tanga.Hii inaimarisha sana ndoa