Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,556
- 4,162
Siku moja majambazi yamevamia nyumbani kwako, baada ya kuchukuwa kila walichukuwa wanakihitaji wakakupatia bunduki ili umuue mkeo. Kwa haraka ukapiga magoti kwa unyenyekevu ukiwasihi wakuwie radhi kwani huwezi kumuua mkeo sababu unampenda.Kwa hasira wakakunyang'anya bunduki na kumpatia mkeo,chapuchapu mkeo akakamata mtutu na kuifyatua risasi kwa bahati mbaya hakukuua na risasi hata moja.Wakacheka sana na kisha kutokomea gizani.
Swali:
1.Ikiwa wewe ndio mwanamume huyo utafanyaje?
2.Ikiwa wewe ndio mwanamke huyo utafanyaje?
Swali:
1.Ikiwa wewe ndio mwanamume huyo utafanyaje?
2.Ikiwa wewe ndio mwanamke huyo utafanyaje?