Unapodhani unapendwa, kumbe majanga

Unapodhani unapendwa, kumbe majanga

Ntachonga ramani ya majambazi wengine alafu round hii sikosei maana ntawambia waweke japo karisasi kamoja

Yan waje waibe tena ilimradi upate chance ya kumpiga mkeo risasi?
 
Wengi hatuipendi ccm lakini isiwe jamvi la kuangushia lawama hata ambazo hawahusiki nazo. Utamkanyaga nyoka akugonge na mwisho utawalaumu ccm kwa mwendo huu.

lazima awalaani kwan alipaswa kutembelea gari so nyoka a singe mgonga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom