Upo na Computer yako(laptop au desktop).Unaandika mchango wako au mada flani ktk mtandao wa JF.Unaipitia mara mbili mbili au tatu ili kusahihisha makosa ya kiuandishi.Unasahihisha na kujiridhisha kuwa ulicho kiandika kipo sahihi na hakuna kosa lolote.Una-post mada/mchango wako.Baada sekunde kadhaa baada ya kupost unaona makosa ya kiuandishi.Wataalam wa IT tusaidieni hapo,hii kitu inasababishwa na nini?.
Kama unaandika mada ndefu, yenye kurasa zaidi ya mbili na kuendelea, unachotakiwa baada ya kumaliza kuandika, ni kuipitia taratibu na kwa uangarifu, bila kuruhusu usomaji wa kimazoea, hii nikimaanisha kuwa kusoma herufi kama zilivyo na si kufikiria kuwa ndivyo zilivyo... Mf: Changamoto & Chanyamoto, Ndevu & Ndefu, Kisha & Kasha n.kUpo na Computer yako(laptop au desktop).Unaandika mchango wako au mada flani ktk mtandao wa JF.Unaipitia mara mbili mbili au tatu ili kusahihisha makosa ya kiuandishi.Unasahihisha na kujiridhisha kuwa ulicho kiandika kipo sahihi na hakuna kosa lolote.Una-post mada/mchango wako.Baada sekunde kadhaa baada ya kupost unaona makosa ya kiuandishi.Wataalam wa IT tusaidieni hapo,hii kitu inasababishwa na nini?.
hata wewe bmkubwa nina hakika ktk thread zako ulibofya kitufe cha edit mara nyingi lakini ulipo-post ukakuta typing arror.
Is true, kama ulisoma shule ya kata.
kama unaandika mada ndefu, yenye kurasa zaidi ya mbili na kuendelea, unachotakiwa baada ya kumaliza kuandika, ni kuipitia taratibu na kwa uangarifu, bila kuruhusu usomaji wa kimazoea, hii nikimaanisha kuwa kusoma herufi kama zilivyo na si kufikiria kuwa ndivyo zilivyo... Mf: changamoto & chanyamoto, ndevu & ndefu, kisha & kasha n.k
kisha usikimbilie ku-post, iwache kwanza kwa muda wa kama dakika 30+ kisha baada ya muda huo kupita, ifungue kazi yako na kuisoma kama vile unasoma bandiko la mpinzani wako na ukitafuta poit za kumjibu... Ukifuata hivyo basi makosa yatapungua sana.
Is true, kama ulisoma shule ya kata.
Ni kweli maneno yako... Waswahili wanasema mwenye pupa adiriki....!kweli pia punguza pupa
Ni kweli lakini mkuu Mwambie Mkuu Invisible arekebishe hiliKama unaandika mada ndefu, yenye kurasa zaidi ya mbili na kuendelea, unachotakiwa baada ya kumaliza kuandika, ni kuipitia taratibu na kwa uangarifu, bila kuruhusu usomaji wa kimazoea, hii nikimaanisha kuwa kusoma herufi kama zilivyo na si kufikiria kuwa ndivyo zilivyo... Mf: Changamoto & Chanyamoto, Ndevu & Ndefu, Kisha & Kasha n.k
Kisha usikimbilie ku-post, iwache kwanza kwa muda wa kama dakika 30+ Kisha baada ya muda huo kupita, ifungue kazi yako na kuisoma kama vile unasoma bandiko la mpinzani wako na ukitafuta poit za kumjibu... Ukifuata hivyo basi makosa yatapungua sana.
Kama unaandika mada ndefu, yenye kurasa zaidi ya mbili na kuendelea, unachotakiwa baada ya kumaliza kuandika, ni kuipitia taratibu na kwa uangarifu, bila kuruhusu usomaji wa kimazoea, hii nikimaanisha kuwa kusoma herufi kama zilivyo na si kufikiria kuwa ndivyo zilivyo... Mf: Changamoto & Chanyamoto, Ndevu & Ndefu, Kisha & Kasha n.k
Kisha usikimbilie ku-post, iwache kwanza kwa muda wa kama dakika 30+ Kisha baada ya muda huo kupita, ifungue kazi yako na kuisoma kama vile unasoma bandiko la mpinzani wako na ukitafuta poit za kumjibu... Ukifuata hivyo basi makosa yatapungua sana.[/QUOTE]"....iwache kwanza kwa mda....."hii kitu bhana inafurahisha sana.
"....iwache kwanza kwa mda....."hii kitu bhana inafurahisha sana.Kama unaandika mada ndefu, yenye kurasa zaidi ya mbili na kuendelea, unachotakiwa baada ya kumaliza kuandika, ni kuipitia taratibu na kwa uangarifu, bila kuruhusu usomaji wa kimazoea, hii nikimaanisha kuwa kusoma herufi kama zilivyo na si kufikiria kuwa ndivyo zilivyo... Mf: Changamoto & Chanyamoto, Ndevu & Ndefu, Kisha & Kasha n.k
Kisha usikimbilie ku-post, iwache kwanza kwa muda wa kama dakika 30+ Kisha baada ya muda huo kupita, ifungue kazi yako na kuisoma kama vile unasoma bandiko la mpinzani wako na ukitafuta poit za kumjibu... Ukifuata hivyo basi makosa yatapungua sana.
Red ni Errorhata wewe bmkubwa nina hakika ktk thread zako ulibofya kitufe cha edit mara nyingi lakini ulipo-post ukakuta typing arror.
samahan bshost,sasa hivi ctacheka kwa sauti tena,ni mwendo wa kucheka kimya kimya-hapo ktk red.....😛oa