Mambo wanajamvi.......
Kila mtu kuna chakula cha aina fulani huwa anakipendelea saaaaaaana
kwa mfano mimi chakula nikipendacho ni Ndizi Samaki,
halafu mpishi awe
farkhina ntainjoije sasa maana ..........
je wewe wapenda chakula gani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!