UNAPATA WAPI UTHUBUTU HUO?!

Tinde nsalala

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
248
253
Mtu ana wafuasi zaidi ya milioni 2 unamzuliaje na kumchafua kwa jambo baya halafu bado aendelee kuwa upande wako?!

Kwa tofauti ya kura milioni 2 zilokipa chama ushindi huoni unazipiga teke kwa kutaka SIFA za kijinga?!

Tusidangaye,SIFA za kipuuzi anazozitafuta huyo bwana mdogo zitakigharimu chama chetu!Huyo hana udhati wowote ktk yote.

Tayari dalili za mpasuko ndani ya chama umeanza kudhihili.Hii ni mbaya na yapo madhala ya wazi wazi.

Km mchicha huu unaleta balaa je ukishakuwa mbuyu itakuwaje?!Jawabu mnalo wenye mamlaka.

Tukumbuke,DUNIA HADAA
MALIMWENGU SHUJAA!

Kila lakheri YANGA na SIMBA.
 
Back
Top Bottom