Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 727
Naona mwanamama anaongea kwa hisia kali na watu wanamsikiliza kwa makini
Wana JF wenzangu,
Jaribu kuangalia hizi picha zilizoko hapa kisha utoe maoni yako nani zaidi ya mwenzake hapa? Tujifikirishe kuwa wote hawana wasifu (CV) kali. Kwa mtazamo huo nani mkali hapa?
Ni kweli anaongea kwa hisia kali. Kwa mtazamo wako nani hapo ni zaidi ya mwingine kulingana na visual iliyoko mbele yako?
"............CCM mmetuchakaza, tunatembea pekupeku hata hela ya yeboyebo hatuna,, Ona akina mama wenzangu waliokaa hapo nyuma, wanasikitika, hata UJI hawajnywa kwajili yenu!"Wana JF wenzangu,
Jaribu kuangalia hizi picha zilizoko hapa kisha utoe maoni yako nani zaidi ya mwenzake hapa? Tujifikirishe kuwa wote hawana wasifu (CV) kali. Kwa mtazamo huo nani mkali hapa?
http://1.bp.blogspot.com/-Rs_ow4ZCZaA/TcvBaaFxyWI/AAAAAAAA-dI/oD14M8Uze-Y/s16
[IMG]http://2.bp.blogspot.com/-7krlpV_q6MQ/Tc75YSXM9GI/AAAAAAABlDY/PjLePIA0WUk/s1600/IMG_0681.jpg
Mama hana Jukwaa "ana watu nyuma yake" inatia moyo!
Mwanamama ni mkali zaidi kavuta hadhira na benchi lake sio hao wengine!!
"............CCM mmetuchakaza, tunatembea pekupeku hata hela ya yeboyebo hatuna,, Ona akina mama wenzangu waliokaa hapo nyuma, wanasikitika, hata UJI hawajnywa kwajili yenu!"
Ndivyo anavyoonekana kusema mama huyu!