Hatuwezi endelea kamwe! kwa viwanda primitive kama hivyo khaaaaa na Jamaa anaona sawa tuuu
Hao watu amewakuta wakiwa wanabangua korosho bila mashine, walianza kabla yeye(JK) hajaingia madarakani.Hivi hizo korosho si zitaunguuza mikono yao jamani? Mashine za kubangua korosho nazo sio kama koti?
wangejitahidi hata waoshe hizo meza kumzuga huyo msela.
Pathetic.
Utadhani kiwanda cha chuma chakavu kumbe wanabangua korosho
Hapa Kiongozi wa nchi anaonyeshwa wananchi wake wakifanyishwa kazi katika mazingira magumu. Hebu tazama hapo kinamama hao wanabangua korosho bila ya kuwa nyenzo za kazi kwa usalama wao na kiongozi anafurahia tu.
Sasa kama kiongozi alipita na hakuliona hili unategemea hawa wenye kiwanda watabadilika kweli?
Picha kwa hisani ya majengwa blog