Werrason JF-Expert Member Joined Nov 5, 2014 Posts 13,692 Reaction score 41,141 Feb 19, 2015 #2 Hawa si ndio wanasema "bora ccm wametupa t-shirt! Hao wengine wametupa nini?" We have long way to go😡😡😡
Hawa si ndio wanasema "bora ccm wametupa t-shirt! Hao wengine wametupa nini?" We have long way to go😡😡😡
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,280 Feb 19, 2015 #3 ccm inawekwa madarakani na watu hohehahe!
Pendaneni Senior Member Joined Feb 12, 2014 Posts 134 Reaction score 108 Feb 19, 2015 #4 SHIEKA said: ccm inawekwa madarakani na watu hohehahe! Click to expand... Halafu hao watu hohehahe bado kutwa kuchwa kulalama kuwa maisha magumu, mahospitalini hakuna madawa, hakuna walimu, ila malalamiko yao huzimwa mara moja baada ya miaka mitano kwa pilao, tshirt, kofia na kanga za njano!!!!
SHIEKA said: ccm inawekwa madarakani na watu hohehahe! Click to expand... Halafu hao watu hohehahe bado kutwa kuchwa kulalama kuwa maisha magumu, mahospitalini hakuna madawa, hakuna walimu, ila malalamiko yao huzimwa mara moja baada ya miaka mitano kwa pilao, tshirt, kofia na kanga za njano!!!!
K kamagetac JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 2,479 Reaction score 644 Feb 19, 2015 #5 Pendeza sana babu,watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa
TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,649 Reaction score 1,128 Feb 19, 2015 #6 Maisha bora kwa kila mtanzania
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,781 Feb 19, 2015 #7 Ukikosa mali afadhali uwe na maarifa, lakini ukikosa vyote ndio unakuwa kama huyu babu.