Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,534 Reaction score 2,492 Nov 23, 2009 #81 George_Porjie said: duh, mamamaaaaaaaaa, yani ubalozi wetu kweli umeshindwa kurekebisha hiyo signpost??, mi nilijua uozo uko ndani tu kumbe hata nje?, Loh. Click to expand... Yap, bado una kazi ya kupatambua ni ubalozi wetu nchi gani.... 😀 😀
George_Porjie said: duh, mamamaaaaaaaaa, yani ubalozi wetu kweli umeshindwa kurekebisha hiyo signpost??, mi nilijua uozo uko ndani tu kumbe hata nje?, Loh. Click to expand... Yap, bado una kazi ya kupatambua ni ubalozi wetu nchi gani.... 😀 😀
Lole Gwakisa JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 4,773 Reaction score 2,383 Nov 23, 2009 #82 Bluray said: Katika thread hii unaweza kutuma picha, hususan za Tanzania, na kutaka kujua uelewa wa watu wa nchi yetu. Je unapajua hapa? Wapi? (See attachment) Click to expand... Hapo ni Ndanda mkuu,nimepita hapo 2 weeks ago na kuna sausage size ya mkono wa boxer!! Kweli hii Abbey jamaa wamejizatiti kwa kilimo, shule na training schools za kila aina.
Bluray said: Katika thread hii unaweza kutuma picha, hususan za Tanzania, na kutaka kujua uelewa wa watu wa nchi yetu. Je unapajua hapa? Wapi? (See attachment) Click to expand... Hapo ni Ndanda mkuu,nimepita hapo 2 weeks ago na kuna sausage size ya mkono wa boxer!! Kweli hii Abbey jamaa wamejizatiti kwa kilimo, shule na training schools za kila aina.
Injinia JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 849 Reaction score 28 Nov 23, 2009 #83 Kibunango said: Click to expand... Hapo ni ubalozi wa TZ Iran
Lole Gwakisa JF-Expert Member Joined Nov 5, 2008 Posts 4,773 Reaction score 2,383 Nov 24, 2009 #84 Bluray said: Corect, kanisa la Ndanda to be precise, Ndanda ipo Peramiho. Mkuu umekaa mitaa hiyo nini? Au some serious netizenship tu? Very beautiful church, I like the architectural design, clearly old school. Click to expand... Mkuu Bluray, Ndanda haiko Peramiho,iko karibu na Nyangao as you travel from Lindi to Masasi.As I have posted earlier nilikuwa hapo about 12 days ago. Attachments masasi trip 037.JPG 715.8 KB · Views: 64
Bluray said: Corect, kanisa la Ndanda to be precise, Ndanda ipo Peramiho. Mkuu umekaa mitaa hiyo nini? Au some serious netizenship tu? Very beautiful church, I like the architectural design, clearly old school. Click to expand... Mkuu Bluray, Ndanda haiko Peramiho,iko karibu na Nyangao as you travel from Lindi to Masasi.As I have posted earlier nilikuwa hapo about 12 days ago.
Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 332 Nov 26, 2009 #85 Maxence Melo said: Na hapa wapi? Click to expand... hapa mwanza.
Lily Flower JF-Expert Member Joined Oct 16, 2009 Posts 2,553 Reaction score 1,199 Nov 26, 2009 #86 Freetown said: Haya tena kwa wale wanaopenda kutembea mapolini hapa ni wapi? Click to expand... Arusha National Park
Freetown said: Haya tena kwa wale wanaopenda kutembea mapolini hapa ni wapi? Click to expand... Arusha National Park
Kibunango Platinum Member Joined Aug 29, 2006 Posts 8,534 Reaction score 2,492 Nov 26, 2009 #87 Injinia said: Hapo ni ubalozi wa TZ Iran Click to expand... Ni Oman