Ingekuwa safi sana, muda usingepotea hovyo. we fikiri kwa hali ilivyo sasa, mahala pa kutumia dakika 10 tu kwa gari, unajikuta watumia masaa mawili, hasa muda wa asubuhi na jioni. Ni tatizo kubwa.
Lol! kakajambazi mbona mwaka huu tutatikisa vichwa mpaka ving'oke? juzi tu kuna member alichora mistari akasema tutikise vichwa tukaona mtu ndani yake na leo tutikise vichwa tuone magari yanakwenda kwa kac, teh teh teh teh