Mdharuba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2011
- 824
- 521
Kwenye zizi la ngombe, mke akawa anashangaa dume linavyopanda jike. Akamuuliza Dk wa mifugo, "Hivi hili dume hupanda mara ngapi kwa siku? "Dk, " kwa wastani mara sita kwa siku "Mke akamgeukia mumewe, "unaona! ...
."Mume akajifanya hajasikia lolote.... kisha akamgeukia Dk wa mifugo na kumuuliza, " Hivi hizo mara sita kwa siku huyu dume huwa analipanda jike hilo hilo? "Dk, "Hapana, huwa anapanda majike tofauti"Mume akamgeukia mkewe huku akitabasamu, "Unaona?"