Unaomba vipi udhamini?

Bata Boy Official

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
259
Reaction score
310
Habari wakuu

Poleni na majukumu ya kujenga taifa

Kuna TAMASHA (Event) ninaandaa, na kuwezesha TAMASHA hili kuwa bora kama ninavyotarajia nilikua nahitaji kuomba UDHAMINI kutoka MAKAMPUNI kadhaa, sasa nilikua naomba kuuliza UDHAMINI unaombwa vipi? pia kama kuna mtu ana mfano (sample) ya barua inayo ambatanishwa wakati wa kutuma maombi haya naomba anitumie PM au naweza kumpa mawasiliano yangu anitumie hata whatsapp maana nimejaribu ku-google lakini sikufanikiwa kupata mfano wa barua inayokidhi mahitaji yangu.

Natanguliza shukurani.
 
Muda unaotumia kufatilia uzi wangu kuniambia pumba inaonyesha wewe kazi yako nini...chukua dera ntalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…