Makabila kama wachagga si ya kuolewa na wanaume wasiohitaji "mitaro" na "magogo" makabila kama wachagga si ya kuoa mwanamke ambaye hayupo tayari kuwa mjane at 30 kisa mumewe kachomwa kisu katika ugonvi wa kugombania elfu tanomakabila kama wachagga si wa kuoa na kuolewa na watu intelligent ambao tafsiri ya kufanikiwa kimaisha sio "how much money you have made" but "what kind of family you have raised"
Makabila kama wachagga sio ya kuoa na kuolewa na watu wasiopenda mashindano kiasi cha kula bamia mwaka mzima ili udundulize ili mwezi wa kumi na mbili ukatese moshmakabila kama wachagga sio ya kuoa na kuolewa na watu wanaojali family values, ambao baba, watoto na mama watakaa pamoja at least mara 3 kwa week na kujadili family issueskama hutaki kulala watatu kitandani (wewe, mwanandoa na calculator) bac usioe wala kuolewa na mchagga..etc etc etc
Wanawake wa kichaga walio wengi ni washirikina wakubwa na wanafiki na wanatumia dini kama kofia.ndo wanaongoza kukesha makanisani wakati ndani kamuacha mume wa mtu. au ana madawa kibao. analala kwa hawara anaamkia kwenye maombi so what???
but uwezi kusema ni wote ila walio wengi.
Kwa jinsi ulivyoandika umeleta uchawi wa kufitinisha makabila na kuchafua hali ya hewa JF, umekuwa na uvivu wa kufikiri mpaka unaandika pumba, umeleta majivuno ya kikabila kwa kujivuna kuwa kabila lako ni bora kuliko mengine, nadhani shetani atakuwa bwanako so we ni malaya...naomba nijulishe katika makabila yenye sifa hizo nne we ni kabila gani?
Hapana sio wote, mfano Wamachame wanaogopwa sana na makabila nafikiri yote,kwsbb nina mshkaji wangu ni mchaga wa marangu anadai kwao walionywa wasiwaoe wamachame!!!
Soory nimekuwa carried-away, lakini hawa watu ambao cant think outside of the box, wanaojudge without making proper research, wenye tabia ya kugeneralize watu badala ya kuhukumu mtu mmoja mmoja kwa tabia zate, na wenye kutumia experience aliyoipata kwa mtu mmoja na kuibandika kwa kabila zima wanaboa..enough of such people's thinking tutarudi fasta karne ya 14
Wachaga wa kike kabla ya kuolewa ni wabanaji wazuri sana. Lakini akishaolewa ni sharti mtoto wa kwanza awe wa kiume na huyo atazaa na mwanaume anayempenda sana. Baada ya hapo ndo atamzalia mumewe na kisha ataachia papuchi kwa kila amtakaye huku akimnyima mumewe baada ya kumgeuza ndondocha na zoba.
Cku hz ni watoto wachache we ye kurith tabia za kabila kutokana na malezi.hvyo mf. Kwa mazoea ya historia inasifika kuwa wanaume wakingon wanaongoza kuwa na wanawake wengi wakati wanawake wa kingon ni watulivu.... Hiyo ni historia ilaaaa! Kweli had sasa wapo wa hvyoo vile vile wapo watulivu mnoo! So wazazi wa kuchagua kabila kwa iman za historia wanamtihani balaa
Daaaaa mm mama yangu ukitaka kugombana naye na presha yake iwe juu mwambiee una mchumba au unataka kuoa mchagaa haki ya mungu hamtaelewaana kbs hasaa wamachame uwiiiiiiiiiiiiii ndio kbs hatakuelewaa coz mmachame kashatuuliaga mjomba wetu kwa kumpiga na stulii ya kichwa na kufa hapohapo kisaaaaaa..........."!! Nitamalizia kisaa baadae