Unaoa ili iweje ? Mimi na-date na KE sita kwa raha zangu.

Kweli wanawake wengi
Wanawake wanatongoza wanaume siku hz kwasabb ya wingi wao. Hamuoni hata mitaani jinsi wanavyobinua matiti juu ? Jinsi wanavyo hangaika na mikorogo, jinsi wanavyo jitahidi kuonyesha maungo yao ya sirini ? Hii ni dalili kuwa ushindani miongoni mwao wa kupata wanaume ni mkubwa mno. Wanao jilegeza wanaishia kulialia kwa kina mzee wa upako
 
Kweli hii ni tanzania ya viwanda naona mkuu umeamua kuwa kiwanda kidogo cha kuchakata akina dada.takwim zinaonesha wanawake ni wengi kuliko wanaume lakini kila mwanamke ana mchumba kama sio mume.hongela maisha nikupanga nakupanga nikuchagua
 
Mtoa mada una jinsia mbili au??? Kuna thread una-act kama demu na nyingine kama mwanaume.. Tukuelewe vipi sasa..??

Yaani hata nikisoma thread zako nakosa uhalisia kabisa, leo mwanamke kesho mwanamke.

MBONA HUELEWEKI MKUU..
 
Kwa kero za ndoa ninazoshuhudia na kuzisikia, nashindwa kuelewa sabb ya mwanaume kuamua kuoa mke ambaye baada ya muda mfupi hugeuka kuwa laana na balaa.

Mtu anaanza kujutia, kunyong'onyea na kusononeka. Hata ndoto zake za kuishi maisha aliyoyatarajia hutoweka kabisa. Kila siku hofu ya kusalitiwa, mizozo na magomvi. Ukioa kipato huanza kuyumba maana unakuwa umeongeza matumizi lkn hujaongeza vyanzo vya kipato.

Mm na-date na wadada sita bila ya wao kujuana wala kugongana hata siku moja.
1. Hotelia
2. Mjasiriamali
3. Mwanafunzi wa diploma
4. Mwanafunzi wa shahada
5. Binti wa jirani
6. Mke wa mtu -mwajiriwa serikalini

Nimekula bata sana na huyu mwajiriwa wa serikali kabla ya sémina kupigwa marufuku na jpm, nilikuwa namfuata kila mkoa alikoenda. Nalala bure, nakula bure na kinanda napiga.

Siku hizi akiimisi kitu yangu anaomba ruhusa kazini kwake kuwa kesho atakuwa na dharura. Nyumbani anamwambia mumewe kuwa kesho atatakiwa aamke mapema sana ili awahi kazini. Hiyo kesho anacruze gari hadi kwangu ili afike kabla majirani hawajaamka. Basi tunafanya yetu mpk muda wa kazi utakapoisha. Huku akigharamia mapochopocho na usafi wa nyumba akifanya.

Hawa wanafunzi nawapishanisha wakati wa likizo zao. Mmoja namwambia sitakuwepo, basi anakula kona huyu mwingine anakuja kwangu kwa wiki kadhaa. Yule aliyekula kona namuomba awahi wiki 2 kabla ya kufungua.

Huyu mjasiriamali anasaidia sana siku ziende hasa nikichacha huku wanafunzi wakiwa vyuoni na mwajiriwa yuko busy.


Hotelia hana faida nyingine kwangu zaidi ya kuonyesha True love na kuwa tayari kutoa penzi bila hata ya kudai nauli.

Binti wa jirani yeye huwa ananisumbua sana pale ambapô wazazi wake wanapokuwa wamesafiri ama wako ktk shughuli za kijamii mfano misiba, harusi, n.k

Kwa mazingira kama haya, ambapo mm nina uhakika wa mbunye kila siku, najiuliza naoa ili iweje ? Kama nikitaka mtoto kati ya hawa sita hakuna atakaye chomoa.
Nahisi wanaoa ili wafanye ngono at cheap price.
 
157f59833ab7a782b8564e75b86f3d5c.jpg
 
Back
Top Bottom