TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Nilisoma Gazeti la Nipashe Juzi kuwa Kuna waalimu wa wilaya ya Rombo, na naamini na kwingineko, hawajalipwa mishahara kwa Miezi mitano. Habari iliendelea kuwa waalimu hao hata hari ya kufundisha hawana, na huwezi kuwalazimisha. Je unanunuaje Ndege katika hali kama hiyo? Ni busara?
Walimu Rombo waanza kulipwa madeni yao
Walimu Rombo waanza kulipwa madeni yao