Unanikatikia

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Juzi ulinikatikia ofisini,jana ulinikatikia nikiwa kitandani,usiku ukanikatikia tena,asubuhi ile navaa tu nguo ukanikatikia hapo hapo,
kwanini unakatika kila siku?dah huu umeme wa tanesco nimechoka nao.
 
Mwalimu wa somo la Biology form2 aliingia class na kuwataka wanafunzi kila mmoja achore viungo vya uzazi na kuandika jina la kila sehemu muhimu.Ghafla James akainama kuegemea dawati huku anaangalia chini kwa aibu.Mwanafunzi moja mtundu akamwambia mwalimu,
Mwalimu angalia James anacopy.
 
jamaa kamchokoza mwenzake makusudi,mwenzie kamaindi,jamaa badala aombe samahan,akataka kuonesha uanaume,wakakwidana,zikapigwa,
jamaa akaona mwenzie mtata,atamuua,anaangalia watu kwa huruma,watu hawaamui,wanaangalia tu,kataman kuomba msamaha lakin ataonekana siyo mwanaume,lakin anazidiwa,akafoka kwa ukali
jamaa;mnashangaa nn badala mtuamue,hamuon tutauana..
 
Mume alienda shambani akamuacha mkewe na ndugu yake nyumbani,aliporudi hakuwakuta ndani,mume akataharuki,mara akasikia sauti nyorooooro inatoka chumbani kwa bashasha"shemeji ramba!!!"mume akafungua mlango kwa hasira akawakuta wanacheza karata...loh
 
Baba alishangaa mtoto aliporudi kutoka shuleni analia,akamwuliza kwanini unalia?mtoto:aah nimechapwa fimbo mbili,
ile h/work uliyonifanyia usiku kucha nimepata ziro,heri hata ningefanya mwenyewe.
Baba kabakia mh!
 
mwanamke mswahili alioana na mchina,akazaa naye bahati mbaya kichanga kilifariki,siku ya mazishi mama alikuwa analia akisema..
uwii uwii nilijua tu vifaa vya kichina havidumu!
 
Baba alishangaa mtoto aliporudi kutoka shuleni analia,akamwuliza kwanini unalia?mtoto:aah nimechapwa fimbo mbili,
ile h/work uliyonifanyia usiku kucha nimepata ziro,heri hata ningefanya mwenyewe.
Baba kabakia mh!

hahahahahahaha! Baba kilaza. Lol.
Hujambo?
 
mwanasiasa mmoja alienda kwenye mazishi,akaombwa aseme maneno machache,mara akajisahau na kuanza;;;
wananchi oyee!chama chetu safi! duh watu wakaanza kuguna chini chini.
 
Mwalimu wa somo la Biology form2 aliingia class na kuwataka wanafunzi kila mmoja achore viungo vya uzazi na kuandika jina la kila sehemu muhimu.Ghafla James akainama kuegemea dawati huku anaangalia chini kwa aibu.Mwanafunzi moja mtundu akamwambia mwalimu,
Mwalimu angalia James anacopy.

JF - The home of Great Thinkers.
 
jamaa kamchokoza mwenzake makusudi,mwenzie kamaindi,jamaa badala aombe samahan,akataka kuonesha uanaume,wakakwidana,zikapigwa,
jamaa akaona mwenzie mtata,atamuua,anaangalia watu kwa huruma,watu hawaamui,wanaangalia tu,kataman kuomba msamaha lakin ataonekana siyo mwanaume,lakin anazidiwa,akafoka kwa ukali
jamaa;mnashangaa nn badala mtuamue,hamuon tutauana..

du hatuamui mtu hapa umeyataka mwenyewe.!
 
jamaa kamchokoza mwenzake makusudi,mwenzie kamaindi,jamaa badala aombe samahan,akataka kuonesha uanaume,wakakwidana,zikapigwa,
jamaa akaona mwenzie mtata,atamuua,anaangalia watu kwa huruma,watu hawaamui,wanaangalia tu,kataman kuomba msamaha lakin ataonekana siyo mwanaume,lakin anazidiwa,akafoka kwa ukali
jamaa;mnashangaa nn badala mtuamue,hamuon tutauana..

unajua hili nilishawahi kuliona wakati niko form two...? jamaa alikua anajifanya anajua sana kutesa wanafunzi wenzie enzi zile.....! basi akaja dogo mmoja hivi form one jamaa akataka kujizolea ujiko kwa dogo kumbe dogo ni noma bhanna dah jamaa alipewa nakoz mpaka akaomba aaamuliwe sasa na sisi tukawa tumesettle tu coz jamaa hua anatutesa sana tukataka apewe mambo kidogo
 
Baba alishangaa mtoto aliporudi kutoka shuleni analia,akamwuliza kwanini unalia?mtoto:aah nimechapwa fimbo mbili,
ile h/work uliyonifanyia usiku kucha nimepata ziro,heri hata ningefanya mwenyewe.
Baba kabakia mh!

halafu hapo dingi ndio alishajisifu kua alikua anapata mia enzi zake na kwamba alikua anakua wa kwanza killasiku yani.....!
 
mwanasiasa mmoja alienda kwenye mazishi,akaombwa aseme maneno machache,mara akajisahau na kuanza;;;
wananchi oyee!chama chetu safi! duh watu wakaanza kuguna chini chini.

hapo asee nahakikisha anatoka kwenye mazishi anachechemea kwa kipigo chake ni nnoma
 
Back
Top Bottom